Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Tanzania, Burundi na UNHCR Zatiliana Saini Mpango wa Kuwarejesha Wakimbizi wa Burundi Nchini Kwao

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba,akibadilishana nyaraka na Mwakilishi wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR) nchini Tanzania,Chansa Kapaya(kulia) zenye makubaliano juu ya Mpango wa Kuwarejesha Wakimbizi wa Burundi wanaohifadhiwa mkoani Kigoma.Makubaliano hayo yamefanyika mwishoni mwa wiki, Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere,jijini Dar es Salaam.

Waziri wa Mambo ya Ndani na Elimu ya Uzalendo kutoka nchini Burundi, Pascal Barandagiye, akibadilishana nyaraka na Mwakilishi wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR) nchini Tanzania, Chansa Kapaya (kulia) zenye makubaliano juu ya Mpango wa Kuwarejesha Wakimbizi wa Burundi wanaohifadhiwa mkoani Kigoma.Katikati ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba.Makubaliano hayo yamefanyika mwishoni mwa wiki, Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.

CAP PIX 3
Mkurugenzi wa Idara ya Wakimbizi, Harrison Mseke, akifafanua vipengele vilivyopo kwenye Mpango wa Kuwarejesha Wakimbizi wa Burundi wanaohifadhiwa mkoani Kigoma, kabla ya kutiwa saini.Wanaosikiliza meza kuu toka kushoto ni Waziri wa Mambo ya Ndani na Elimu ya Uzalendo kutoka nchini Burundi, Pascal Barandagiye,Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba, Mwakilishi wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR) nchini Tanzania, Chansa Kapaya na Mwakilishi wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR) nchini Burundi,Abel Mbilinyi.Makubaliano hayo yamefanyika mwishoni mwa wiki, Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.

Wajumbe kutoka Serikali ya Burundi wakiongozwa na Balozi wa Burundi nchini Tanzania,Gervais Abayeho wakiwa katika Mkutano wamakubaliano juu ya Mpango wa Kuwarejesha Wakimbizi wa Burundi wanaohifadhiwa mkoani Kigoma.Makubaliano hayo yamefanyika mwishoni mwa wiki,Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam.

Wajumbe kutoka Mashirika mbalimbali ya kimataifa wakiwa katika Mkutano wa makubaliano juu ya Mpango wa Kuwarejesha Wakimbizi wa Burundi wanaohifadhiwa mkoani Kigoma.Makubaliano hayo yamefanyika mwishoni mwa wiki, Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam. (Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.)

8 thoughts on “Tanzania, Burundi na UNHCR Zatiliana Saini Mpango wa Kuwarejesha Wakimbizi wa Burundi Nchini Kwao

 • August 12, 2020 at 2:46 am
  Permalink

  Hi there! This post couldn’t be written any better! Reading through this post reminds me
  of my old room mate! He always kept talking about
  this. I will forward this article to him. Pretty sure
  he will have a good read. Thank you for sharing! adreamoftrains web hosting services

  Reply
 • August 25, 2020 at 3:34 am
  Permalink

  I will right away take hold of your rss feed
  as I can’t to find your e-mail subscription link or
  e-newsletter service. Do you’ve any? Kindly permit me recognise in order that I may just subscribe.
  Thanks. cheap flights 34pIoq5

  Reply
 • August 25, 2020 at 11:30 pm
  Permalink

  Helpful information. Lucky me I found your site by accident, and I’m stunned why
  this coincidence didn’t came about earlier! I bookmarked it.
  cheap flights 3gqLYTc

  Reply
 • August 28, 2020 at 5:56 am
  Permalink

  Everyone loves it when people come together and share
  thoughts. Great site, continue the good work!

  Reply
 • August 28, 2020 at 5:23 pm
  Permalink

  Hello, for all time i used to check web site posts here early in the break of day, for the reason that
  i like to learn more and more.

  Reply
 • August 31, 2020 at 7:41 pm
  Permalink

  I pay a quick visit day-to-day a few blogs and websites to read posts,
  but this blog provides quality based posts.

  Reply
 • September 5, 2020 at 10:29 am
  Permalink

  I am really impressed with your writing skills and also
  with the layout on your blog. Is this a paid theme or did you modify it yourself?

  Either way keep up the nice quality writing, it is rare to see a great blog like this
  one these days.

  Reply

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama