
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, akikagua nguzo za daraja la Kelema lenye urefu wa mita 205 lililopo katika barabara ya Dodoma-Mayamaya-Mela-Bonga (Babati), yenye urefu wa KM 231.5, Mkoani Dodoma. Daraja hilo linaunganisha Wilaya ya Chemba na Kondoa mkoani humo.
Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), na Watendaji wa Mamlaka mbalimbali nchini wametakiwa kusimamia sheria ili kuhakikisha kuwa wanadhibiti changamoto za uharibifu wa miundombinu ya barabara.
Agizo hilo limetolewa na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, wakati akikagua barabara ya Dodoma-Mayamaya-Mela-Bonga (Babati), KM 231.5 ambapo amesema kuwa mamlaka zote hizo zikishirikiana kwa pamoja katika suala zima la ulinzi na utekelezaji wa sheria kutasaidia miundombinu hiyo kudumu kwa muda mrefu.
“Vitendo kama vya umwagaji wa mafuta ya magari kwenye barabara, kupiga jeki, kuswaga wanyama, kuchimba kokoto na mchanga kwenye madaraja vinachangia sana uharibifu wa barabara, hivyo simamieni kuhakikisha vitendo hivi vinakoma mara moja”, amesisitiza Waziri Prof. Mbarawa.

Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS), mkoa wa Dodoma, Mhandisi Leonard Chimagu, akitoa maelezo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa (katikati), kuhusu kazi zilizobaki katika barabara ya Dodoma-Mayamaya-Mela-Bonga (Babati), yenye urefu wa KM 231.5, wakati wa ukaguzi wa barabara hiyo iliyokamilika kwa asilimia 98.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa (katikati), akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa ukaguzi wa barabara ya Dodoma-Mayamaya-Mela-Bonga (Babati), yenye urefu wa KM 231.5 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami.

Muonekano wa sehemu ya wa barabara ya Dodoma-Mayamaya-Mela-Bonga (Babati), yenye urefu wa KM 231.5 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami kwa asilimia 98. Kazi zilizobaki ni kuweka alama za barabarani. Imetolewa na Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
Aidha, Profesa Mbarawa amewataka madereva kufuata alama za kudhibiti mwendo (spidi) zilizoko barabarani hususani katika kipindi hiki cha sikukuu kwani kutokufuata sheria hiyo kunapelekea ajali nyingi za barabarani.
Katika hatua nyingine, Profesa Mbarawa ameipongeza TANROADS na Kampuni ya Mkandarasi ya CHICO kwa kuhakikisha kuwa barabara hiyo na daraja kubwa la Kelema lenye urefu wa mita 205 lililopo kwenye barabara hiyo linakamilika kwa wakati na kwa viwango vinavyotakiwa.
Kwa upande wake, Meneja wa TANROADS mkoa wa Dodoma, Mhandisi Leonard Chimagu amesema kuwa barabara hiyo imekamilika kwa asilimia 98 ambapo kazi zinazofanyika sasa ni uwekaji wa kingo na alama za barabarani hivyo amefafanua kuwa kazi hiyo inatarajiwa kukamilika hivi karibuni.
Barabara ya Dodoma-Mayamaya-Mela-Bonga (Babati), yenye urefu wa kilometa 231.5 ambayo imejengwa kwa takribani shilingi Bilioni 257.6 inatarajiwa kufunguliwa mwakani na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.
Imetolewa na, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
Pingback: generic cialis
Pingback: Pfizer viagra
Pingback: discount cialis
Pingback: viagra 50mg
Pingback: cheap viagra
Pingback: best ed pills at gnc
Pingback: buy ed pills online
Pingback: top ed pills
Pingback: cialis for sale
Pingback: casino games
Pingback: red dog casino
Pingback: viagra without doctor prescription
Pingback: best online casino usa
Pingback: online casino for real cash
Pingback: personal loan
Pingback: personal loans
Pingback: real casino slot machines
Pingback: best real money online casinos
Pingback: generic for cialis
Pingback: 5 mg cialis
Pingback: online casino bonus liste
Pingback: online casinos real money
Pingback: casino slot games
It’s difficult to find experienced people for this subject, however,
you seem like you know what you’re talking about!
Thanks adreamoftrains web hosting
whoah this weblog is fantastic i love studying your articles.
Stay up the good work! You realize, many people are searching around for this information, you
can help them greatly.
It’s wonderful that you are getting thoughts from this article as
well as from our discussion made at this time.
Pingback: casino slots
This paragraph is truly a nice one it assists new internet viewers, who are wishing in favor of blogging.
Pingback: online casino usa real money
Pingback: viagra cheap
Hey there would you mind stating which blog platform you’re using?
I’m looking to start my own blog soon but I’m having a hard time selecting between BlogEngine/Wordpress/B2evolution and Drupal.
The reason I ask is because your layout seems different then most blogs and I’m looking for something completely unique.
P.S My apologies for getting off-topic but I had to ask!
3gqLYTc cheap flights
Pingback: viagra pill
Great site you’ve got here.. It’s difficult to find quality writing like yours nowadays.
I truly appreciate individuals like you! Take care!!
It is perfect time to make some plans for the future and it is
time to be happy. I’ve read this post and if I could I wish to suggest you few interesting things or suggestions.
Perhaps you could write next articles referring to this
article. I wish to read even more things about it!
Have you ever considered about adding a little bit more than just your articles?
I mean, what you say is important and everything.
But think of if you added some great pictures or video clips to give your posts more, “pop”!
Your content is excellent but with images and videos, this blog could certainly be one
of the very best in its field. Great blog!
Pingback: cheapest ceclor
Pingback: cephalexin 500 mg without a doctor prescription
Pingback: online casino games
Pingback: zanaflex cheap
Pingback: read what he said
Pingback: zyvox 600 mg purchase
Pingback: furosemide usa
Pingback: aripiprazole cost
Pingback: leflunomide for sale
Pingback: donepezil 10mg canada
Pingback: where can i buy clozapine 100mg
Pingback: prochlorperazine nz
Pingback: warfarin for sale
Pingback: divalproex 500 mg purchase
Pingback: where can i buy trazodone
Pingback: cheapest phenytoin
Pingback: oxybutynin 5mg usa
Pingback: doxycycline pharmacy
Pingback: bisacodyl uk
Pingback: amitriptyline cost
tider , browse tinder for free
[url=”http://tinderdatingsiteus.com/?”]tinder sign up [/url]
Pingback: metoclopramide 10 mg united kingdom