Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

TAGCO Yadhidi Kutekeleza Dhana ya Hapa Kazi Tu

Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari –MAELEZO,Bi. Zamaradi Kawawa akizungumza na Mkuu wa Kitengo cha Teknolojia ya Habari, Mawasiliano na Mahusiano Halmashauri ya Wilaya ya Chemba,Abdalla Sasia (kushoto) wakati wa ziara ya Viongozi wa Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikali (TAGCO) na Idara ya Habari – MAELEZO kutembelea Maafisa Habari wa Mikoa na Halmashauri za Kanda ya Kati jana wilayani Chemba mkoani Dodoma. Kutoka kulia ni Mjumbe waTAGCO, Innocent Byarugaaba, Mweka Hazina Msaidizi wa TAGCO, Gerald Chami, Makamu Mwenyekiti wa TAGCO, Bi. Sarah Kibonde Msika na Afisa Habari wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi, Bi.Shani Amanzi.

Mkuu wa Kitengo cha Teknolojia ya Habari, Mawasiliano na Mahusiano Halmashauri ya Wilaya ya Chemba, Abdalla Sasia akielezea jambo mbele ya Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari –MAELEZO,Bi. Zamaradi Kawawa (hayupo pichani) wakati wa ziara ya viongozi wa Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini(TAGCO) na Idara ya Habari – MAELEZO kutembelea Maafisa Habari wa Kanda ya Kati jana wilayani Chemba mkoani Dodoma. Kutoka kulia ni Makamu Mwenyekiti wa TAGCO, Bi. Sarah Kibonde Msika na Afisa Habari wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi, Bi.Shani Amanzi.

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO), Bi. Sarah Kibonde Msika akimpongeza Afisa Habari wa Halmashauri ya Wilaya ya Chemba, Bi.Shani Amanzi kwa kufanya kazi hiyo kwa kujitolea mara baada ya kumaliza mazungumzo naye wakati wa ziara ya Viongozi wa Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikali (TAGCO) na Idara ya Habari – MAELEZO kutembelea Maafisa Habari wa Mikoa na Halmashauri za Kanda ya Kati jana wilayani Chemba mkoani Dodoma hivi karibuni.Katikati ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari –MAELEZO,Bi. Zamaradi Kawawa na Mjumbe wa Kamati tendaji ya TAGCO, Innocent Byarugaba.

Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari – MAELEZO, Bibi. Zamaradi Kawawa (watatu kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Chama cha Maafisa Mawasiliano Serikalini (TAGCO) na Afisa Habari wa Halmashauri ya Wilaya ya Chemba wakati wa ziara ya kuwatembelea Maafisa Habari wa Halmashauri na Mikoa ya Kanda ya Kati mapema hivi karibuni. Kutoka kulia ni Afisa Habari wa Chemba, Bi. Shani Amanzi, Mjumbe wa TAGCO, Inocent Byarugaba, Mkuu wa Kitengo cha Habari, Mawasiliano na Mahusiano Halmashauri ya Chemba, Abdalla Sasia, Makamu Mwenyekiti TAGCO, Bi. Sarah Kibonde Msika na Mweka Hazina Msaidizi wa TAGCO, Gerald Chami.(Picha na: Idara ya Habari – MAELEZO, Chemba)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama