Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Serikali Yatoa Ufafanuzi dhidi ya Tamko la TUCTA Kuhusu Kauli ya Rais Magufuli Aliyoitoa katika Mkutano wa ALAT

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali (katikati) Dkt. Hassan Abbassi akisisitiza jambo wakati akiongea na Waandishi wa Habari  leo jijini Dar es Salaam kuhusu madai ya Tucta juu ya kauli ya Mhe. Rais Magufuli  Aaliyoitoa hivi karibuni.  Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi (Usajili), Patrick Kipangula na Mkurugenzi Msaidizi (Habari na Picha), Rodney Thadeus.

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali (katikati) Dkt. Hassan Abbassi akifafanua jambo mbele ya Waandishi wa Habari leo jijini Dar es Salaam kuhusu madai ya Tucta juu ya kauli ya Mhe. Rais Magufuli aliyoitoa hivi karibuni. Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi (Usajili), Patrick Kipangula na Mkurugenzi Msaidizi (Habari na Picha), Rodney Thadeus.

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali (katikati) Dkt. Hassan Abbassi akizungumza na Waandishi wa Habari leo jijini Dar es Salaam kuhusu madai ya Tucta juu ya kauli ya Mhe. Rais Magufuli aliyoitoa hivi karibu.  Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi (Usajili), Patrick Kipangula na Mkurugenzi Msaidizi (Habari na Picha), Rodney Thadeus. (Picha na: Frank Shija)

124 thoughts on “Serikali Yatoa Ufafanuzi dhidi ya Tamko la TUCTA Kuhusu Kauli ya Rais Magufuli Aliyoitoa katika Mkutano wa ALAT

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama