Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Serikali Yasaini Mkataba wa Bilioni 440 Pamoja na Msaada wa Sh. Bilioni 45 Kutoka AfDB.

 

Katibu Mkuu Wa Wizara Ya Fedha Na Mipango Doto James (Kulia) Akiwa Pamoja Na Mwakilishi Mkazi Wa Benki Ya Maendeleo Ya Afrika(Afdb) Alex Mubiru Wakisaini Mikataba Ya Makubaliano Ya Mkopo Wa Masharti Nafuu Wa Jumla Ya Shilingi Bilioni 440.703 Pamoja Na Msaada Wa Shilingi Bilioni 45 Ambapo Fedha Hizo Zote Zitatumika Katika Mradi Mkubwa Wa Umeme Mkoani Kigoma, Bajeti Kuu Ya Serikali, Kilimo Pamoja Na Mambo Mengine Ya Kimaendeleo

.

Katibu Mkuu Wa Wizara Ya Fedha Na Mipango Doto James Akisaini Moja Ya Mikataba Hiyo Ya Mkopo Wa Masharti Nafuu Wa Jumla Ya Shilingi Bilioni 440.703 Pamoja Na Msaada Wa Shilingi Bilioni 45 Kutoka Afdb Katika Hafla Iliyofanyika Katika Ukumbi Wa Wa Hazina Jijini Dar Es Salaam

 

Katibu Mkuu Wa Wizara Ya Fedha Na Mipango Doto James (Kulia) Akizungumza Na Wanahabari (Hawaonekani) Pichani Mara Baada Ya Kusaini Mikataba Hiyo Ya Mkopo Wa Masharti Nafuu Wa Jumla Ya Shilingi Bilioni 440.703 Pamoja Na Msaada Wa Shilingi Bilioni 45 Kutoka Benki Ya Maendeleo Ya Afrika (Afdb) Katika Hafla Iliyofanyika Katika Ukumbi Wa Wa Hazina Jijini Dar Es Salaam. Kushoto Ni Mwakilishi Mkazi Wa Benki Ya Maendeleo Ya Afrika Alex Mubiru.

 

Katibu Mkuu Wa Wizara Ya Fedha Na Mipango Doto James (Kulia) Akizungumza Na Wanahabari (Hawaonekani)Pichani Mara Baada Ya Kusaini Mikataba Hiyo Ya Mkopo Wa Masharti Nafuu Wa Jumla Ya Shilingi Bilioni 440.703 Pamoja Na Msaada Wa Shilingi Bilioni 45 Katika Hafla Iliyofanyika Katika Ukumbi Wa Wa Hazina Jijini Dar Es Salaam.

Mwakilishi Mkazi Wa Benki Ya Maendeleo Ya Afrika(Afdb) Alex Mubiru (Kushoto) Akizungumza Na Wanahabari Mara Baada Ya Benki Hiyo Kuikopesha Serikali Ya Tanzania Jumla Ya Shilingi Bilioni 440.703 Pamoja Na Msaada Wa Shilingi Bilioni 45 Ambapo Fedha Hizo Zote Zitatumika Katika Mradi Mkubwa Wa Umeme Mkoani Kigoma, Bajeti Kuu Ya Serikali, Kilimo Pamoja Na Mambo Mengine Ya Kimaendeleo. Mpiga Picha Wetu

 

 

47 thoughts on “Serikali Yasaini Mkataba wa Bilioni 440 Pamoja na Msaada wa Sh. Bilioni 45 Kutoka AfDB.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama