Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Dk. Shein Azindua Kituo cha Afya Michezani Pemba

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria kukifungua Kituo cha Afya katika Kijiji cha Michezani Pemba Wilaya ya Mkoani ikiwa ni shamrashamra za Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuashiria kukifungua Kituo cha Afya Michezani Wilaya ya Mkoani Pemba.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Dkt. Mohammed Faki Shariff wakati akitembelea vyumba vya Kituo hicho baada ya kukifungua leo.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimjulia hali mwananchi aliyelazwa kwa mapumziko katika Kituo hicho cha Afya Michezani Rehema Omar, alipofika kupata matibabu.

WANANCHI wa Kijiji cha Michezani wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,  Dk. Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakati wa hafla ya uzinduzi wa Kituo hicho ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

WAZIRI wa Afya Zanzibar akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa Kituo cha Afya Michezani kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein.(Picha na Ikulu)

NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Halima Maulid akitowa maelezo ya ujenzi wa Kituo cha Afya Michezani Wilaya ya Mkoani Pemba wakati wa ufunguzi wake.(Picha na Ikulu)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama