Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais wa Zanzibar Dk. Shein Atembelea Studio ya Redio Rahaleo Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa ZBC Aiman Duwe, alipowasili katika viwanja vya Redio ZBC Rahaleo alipofika kutembelea na kuagalia Studio za kutangazia.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkuu wa Watangazaji wa ZBC Redio Suzan Kunambi alipotembelea moja ya Studio wakati wa ziara yake kutembelea jengo la hilo Rahaleo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Fundi Mitambo wa chumba cha kutangazia Abdulrahaman Othman, alipotembelea Studio za ZBC Rahaleo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkuu wa Watangazaji wa ZBC Redio Suzan Kunambi alipotembelea moja ya Studio wakati wa ziara yake kutembelea jengo la hilo Rahaleo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa ZBC Aiman Duwe akitowa maelezo wakati wa ziara yake akitembelea ukumbi mkubwa wa kurikodiwa katika jengo hilo.(

MtangazajI wa ZBC Spice Abubakari Khatibu Haki Kisandu akiwa katika mmoja ya Studio za ZBC, wakati wa ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein.

 

Fundi Mkuu Msaidi wa ZBC Redio Joseph Lazaro akitowa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, alipofanya ziara kutembelea Studio za ZBC Redio rahaleo akiwa katika chumba cha kurushia matangazo

Mkuu wa Chumba cha Habari wa ZBC Redio Lulu Mzee akitowa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, alipotembelea chumba cha habari wakati wa ziara yake katika jengo la ZBC Redio rahaleo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa ZBC Aiman Duwe, akitowa maelezo wakati wa ziara ya Rais wa Zanzibar alipotembelea chumba cha habari ZBC Redio Rahaleo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Viongozi wa ZBC Redio rahaleo wakati wa ziara yake akiwa katika chumba cha habari katika jengo hilo.(Picha na Ikulu)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Viongozi wa ZBC Redio rahaleo wakati wa ziara yake akiwa katika chumba cha habari katika jengo hilo.(Picha na Ikulu)

52 thoughts on “Rais wa Zanzibar Dk. Shein Atembelea Studio ya Redio Rahaleo Zanzibar

Leave a Reply to essay writer reviews Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama