Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais wa Zanzibar Awaandalia Chakula cha Mchana Wachezaji wa Zanzibar Heroes

Wachezaji wa Zanzibar Heroes wakipata chakula cha mchana kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein. Ikulu Zanzibar, kuipongeza Timu hiyo kwa ushujaha wake katika michuano ya Kombe la Chalenji.

Viongozi wa Timu ya Zanzibar Heroes wakijumuika katika chakula cha mchana kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, Ikulu Zanzibar jana.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimpongeza Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes Hemed Suleiman Moroco kwa jitihada zake alizoonesh kwa Timu ya Taifa ya Zanzibar kufikia hatua ya Fainali katika michuano ya Chalenji yaliomalizika wiki iliyopita Nchi Kenya.(

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiwa katika picha ya pamoja na Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes na Wachezaji wa Zamani wa Zanzibar, baada ya hafla ya chakula cha mchana kilichoandaliwa kwa ajili yao Ikulu Zanzibar jana. (Picha na Ikulu)

 

35 thoughts on “Rais wa Zanzibar Awaandalia Chakula cha Mchana Wachezaji wa Zanzibar Heroes

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama