Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais Shein Atoa Risala ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein akitoa risala ya kuukaribisha Mwezi mtukufu wa Ramadhan kwa wananchi wa Zanzibar na tanzania kwa ujumla katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo. Rais Shein pia amewataka waumini wa dini ya Kiislamu na wananchi kuwa na ushirikiano na kumcha Mwenyezi Mungu. [Picha na Ikulu, Zanzibar.]).

23 thoughts on “Rais Shein Atoa Risala ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama