Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais Paul Kagame Amaliza Ziara Yake Nchini

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mgeni wake Rais wa Rwanda Paul Kagame mara baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Teminal 1 wakati akijiandaa kurejea nchini Rwanda mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Rwanda Paul Kagame wakipita kwenye Gadi ya heshma iliyoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Terminal 1 jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mgeni wake Rais wa Rwanda Paul Kagame katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na vikundi mbalimbali vya ushehereshaji kwa kuwapungia mkono mara baada ya kumsindikiza mgeni wake Rais wa Rwanda Paul Kagame.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na vikundi mbalimbali vya ushehereshaji katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam mara baada ya kumsindikiza mgeni wake Rais wa Rwanda Paul Kagame.

29 thoughts on “Rais Paul Kagame Amaliza Ziara Yake Nchini

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama