Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais Mhe. Dkt. Magufuli Azungumza na Wananchi wa Mlowo Mbozi Mkoani Songwe

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa mji wa Mlowo Mbozi mkoani Songwe mara baada ya kuwasili wakati akitokea uwanja wa ndege wa Songwe mkoani Mbeya.

Wananchi wa Ilonga wakishangilia mara baada ya kumuona Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipowasili katika eneo hilo Mkoani Songwe.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Ilonga mkoani Songwe.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizindua kiwanda cha kukoboa Kahawa cha GDM Limited kilichopo Mlowo Mbozi mkoani Songwe.

Wananchi wa Ruanda wakishangilia mara baada ya kumuona Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipowasili katika eneo hilo Mkoani Songwe.

Wananchi wa Mlowo wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakati alipokuwa akizungumza nao. (Picha na Ikulu)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama