Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli Azungumza na Wananchi wa Kongwa Mkoani Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi wa Kongwa mara baada ya kuwasili wakati akitokea Chamwino mkoani Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiweka shada la maua katika kaburi la Baba mzazi wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai katika eneo la Makaburi ya Ukoo wa Ndugai yaliyopo Chimotolo Kongwa mkoani Dodoma.

Sehemu ya Wananchi wa Kongwa wakishangilia wakati wa hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakati alipokuwa akiwahutubia.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza katika eneo la Makaburi ya Ukoo wa Ndugai mara baada ya sala fupi iliyofanyika katika eneo hilo

. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na viongozi wa kidini wakati akiondoka katika eneo la Makaburi ya Ukoo wa Ndugai katika eneo hilo la Kongwa mara baada ya kuweka shada la maua.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa anazungumza na Spika wa Bunge ambaye pia ni Mbunge wa Kongwa Job Yustino Ndugai wakati akitoka kuweka shada la maua katika kaburi la Baba mzazi wa Spika Mzee Yustino Ndugai katika eneo la Malalo ya ukoo wa Ndugai.

Sehemu ya Wananchi wa Kongwa wakisikiliza kwa makini hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakati alipokuwa akiwahutubia.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Kongwa mkoani Dodoma mara baada ya kuwasili wakati akitokea Chamwino mkoani Dodoma.

165 thoughts on “Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli Azungumza na Wananchi wa Kongwa Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama