Na: Mwandishi Wetu
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mheshimiwa William Lukuvi ametangaza rasmi kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa John Pombe Magufuli ameivunja rasmi Wakala wa Uendelezaji Mji wa Kigamboni (KDA) kuanzia leo.
Aidha Mheshimiwa Rais ameelekeza kwamba shughuli zote zilizokuwa zinafanywa na KDA sasa zifanywe na Manispaa ya kigamboni kwa mujibu wa sheria.
Kutokana na kuvunjwa kwa KDA, kuanzia sasa Manispaa ya Kigamboni itahusika kupanga na kusimamia ardhi yake kama manispaa nyingine zinavyofanya na Wizara ya Ardhi itaendelea kusimamia masuala yote yahusuyo ardhi kwa ujumla wake kama inavyofanya katika manispaa zote nchini.
Waziri wa Ardhi pia akatangaza kwamba kuanzia sasa wakazi wa mji wa Kigamboni wasizuiliwe kupewa hati zao za umiliki wa ardhi na wasizuiliwe kupewa vibali vya ujenzi.
Mheshimiwa Lukuvi pia amefuta mashamba mawili yalioko wilayani kigamboni jijini Dar es salaam na kurudisha mashamba hayo kwa serikali ya wilaya ya kigamboni.
Ufutaji hu ni baada ya wamiliki hao kushindwa kuyaendeleza na kuwanyima fulsa wananchi kufanya shughili zingine na kuinyima wilaya kufanya shuguli za viwanda na uwekezaji mwingine kutokana na kuhodhi kwa maeneo hayo.
Nae mbuge wa wa Kigamboni Dr. Faustine Ndugulile ametoa shukrani zake kwa Rais kwani Muingiliano wa majukumu wa mamlaka hizo ulikuwa ukiwabana wananchi hivyo kuwasababishia kushindwa kufanya shuguli za maendeleo.
Nao baadhi ya wananchi wa Kigamboni wamefurahishwa sana na maamuzi ya Rais kuhusu kuvunjwa kwa Wakala wa Uendelezaji wa Mji wa Kigamboni (KDA) kwani ulikuwa unawapa wakati mgumu katika kuendeleza maeneo yao na kuleta urasimu.
Pingback: generic sildenafil
Pingback: cialis 10 mg
Pingback: canadian pharmacy online
Pingback: online canadian pharmacy
Pingback: pharmacy online
Pingback: generic cialis
Pingback: cialis visa
Pingback: vardenafil 20mg
Pingback: vardenafil cost
Pingback: buy vardenafil online
Pingback: best casino online
Pingback: online slots real money
Pingback: buying viagra online
Pingback: casinos online
Pingback: casino
Pingback: personal loans
Pingback: instant loans
Pingback: cash advance
Pingback: viagra for sale
Pingback: cialis to buy
Pingback: real money online casino
Pingback: 20 cialis
Pingback: cialis internet
Pingback: best real money online casinos
Pingback: best online casino games to play
Pingback: casinos
Pingback: rivers casino
Pingback: rivers casino
Pingback: viagra reviews
Pingback: buy viagra
Pingback: sildenafil vs tadalafil
is there a generic for cialis http://lm360.us/
Squeamish spot. I was checking ceaselessly this blog and I’m impressed!
Highly helpful information specially the cobbler’s last divide :
) I maintenance for such data a lot. I was looking at for this fussy info for a really foresightful metre.
Thank you and best of lot. http://www.stdstory.com/
is generic cialis available in the usa
cialis professional
buy cheap viagra tablets uk Situg Kig
bd pharmacy cialis
cialis pills
viagra ireland sale Situg Kig
Thanks for finally writing about >Rais Magufuli Avunja Wakala wa Uendelezaji Mji Kigamboni
| JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA <Loved it! https://www.wisig.org/
I am truly happy to glance at this website posts which contains tons of helpful information, thanks for providing such statistics. https://buszcentrum.com/
tadalafil generic reviews
buy viagra in pakistan
buy discount viagra on the internet Situg Kig
cialis buying on the internet
buy viagra canadian pharmacy
can you get viagra on prescription Situg Kig
finest post
buy neurontin 100mg
prednisone cost uk
cost of cialis low dose Situg Kig
cialis not generic
prednisone buy canada
generic viagra prices 50 mg Situg Kig