
Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani, Filberto H. Sanga akizungumza katika hafla ya kukabidhi zawadi ya sikukuu ya Idd El Fitri kwa niaba ya Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwa Kituo cha kulelea watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha Malaika Kids kilichopo Mkuranga leo.Kutoka kushoto ni Katibu Tawala Msaidizi anayeshughulikia Utawala na Rasilimali Watu kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abdullrahaman Mdimu na Afisa Tarafa ya Mkuranga Clement Muya.(Picha na: Frank Shija)

Katibu Tawala Msaidizi anayeshughulikia Utawala na Rasilimali Watu kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Bw. Abdullrahaman Mdimu akizungumza katika hafla ya kukabidhi zawadi ya sikukuu ya Idd El Fitri kwa niaba ya Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwa Kituo cha kulelea watoto wanaoishi katika mazingira magumu cha Malaika Kids kilichopo Mkuranga leo. Mhe. Rais ametoa zawadi ya mchele kilo 150, mbuzi pamoja na mafuta ya kupikia ndoo mbili.Kutoka kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Sheria kutoka Ofisi ya Katibu Tawala Mkoa wa Pwani, Mohamed Magati, Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga Filberto H.Sanga na Afisa Tarafa ya Mkuranga Clement Muya.

Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani, Filberto H. Sanga akimkabidhi zawadi ya shilingi elfu kumi mmoja wa watoto wanaolelea katika Kituo cha Malaika Kids wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi ya sikukuu ya Idd El Fitri kwa niaba ya Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwa kilichopo Mkuranga leo. Mtoto huyo amepewa zawadi hiyo kufuatia kujibu swali la Mkuu wa Wilaya huyo lililotaka kufahamu watoto hao wanataka kuwa wakina nani katika maisha yao ambapo mtoto huyo alisema anataka kuwa Rais. Anayeshuhudia ni Meneja maarufu kama Baba Mlezi wa Kituo hicho James Kallinga.

Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani, Filberto H. Sanga akiwakabidhi watoto wa Kituo cha Malaika Kids kilichopo Mkuranga zawadi ya sikukuu ya Idd El Fitri kwa niaba ya Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo. Mhe. Rais ametoa zawadi ya mchele kilo 150, mbuzi pamoja na mafuta ya kupikia ndoo mbili.

Mkuu wa Kituo cha Kulelea watoto cha Malaika Kids kilichopo Mkuranga, Pwani James Kallinga akitoa neon la shukrani kwa niaba ya watoto wa kituo hiyo mara baada ya kukabidhiwa zawadi za Idd El Fitri zilizotolewa na na Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwa ajili ya kituo hicho leo. Kutoka kulia ni Katibu Tawala Msaidizi anayeshughulikia Utawala na Rasilimali Watu kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Bw. Abdullrahaman Mdimu, Afisa Tarafa ya Mkuranga Clement Muya na Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani, Filberto H. Sanga.

Haya ndiyo baadhi ya majengo ya Kituo cha Kulelea watoto yatima cha Malaika Kids kilichopo wilayani Mkuranga, ambacho Mhe. Rais ametoa zawadi ya Idd El Fitri kwa ajili ya watoto wanaolelewa katika kituo hiki ambapo mpaka sasa kina jumla ya watoto 70 wanaolelewa wakiwa kituoni hapo (Picha zote na: Frank Shija)
Pingback: how to get cialis
Pingback: prices of cialis
Pingback: Viagra brand
Pingback: Buy cheap viagra internet
Pingback: online cialis
Pingback: cialis 20mg
Pingback: viagra generic
Pingback: viagra generic
Pingback: cheapest ed pills online
Pingback: medicine erectile dysfunction
Pingback: mens erection pills
Pingback: order cialis
Pingback: canadian pharmacy
Pingback: Cialis in usa
Pingback: levitra online
Pingback: online levitra
Pingback: levitra price
Pingback: online casinos
Pingback: virgin casino online nj login
Pingback: order viagra online
Pingback: online casinos for usa players
Pingback: online casino real money usa
Pingback: personal loans
Pingback: viagra 100mg
Pingback: slots online
Pingback: cialis buy
Pingback: newest online casinos for usa players
Pingback: bingo online com bonus
Pingback: 20 cialis
Pingback: cialis 5 mg
Pingback: LuckyCreek
Pingback: best online casino
Pingback: casinos online
Pingback: online casino
Pingback: canada viagra
Pingback: sildenafil 100
Pingback: what is viagra
Pingback: cialis tadalafil
Pingback: benicar 10 mg pills
Pingback: how to purchase cephalexin 500 mg
Pingback: real online casino
Pingback: zithromax 250mg uk
Pingback: zovirax 800mg nz
Pingback: sildenafil usa
Pingback: glipizide 10 mg coupon