Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais Magufuli Amuapisha Jaji Mkuu Prof. Ibrahim Juma

Jaji Mkuu wa  Tanzania Mhe. Profesa Ibrahim Hamis Juma akila kiapo mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo Ikulu Jijini Dar es Salaam. Profesa Ibrahim anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Jaji Mstaafu Othman Chande na kuwa jaji wa nane kushika wadhifa huo tangu tupate uhuru huku akiwa Mtanzania wa sita. Wapili kutoka kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Balozi John Kijazi.

Jaji Mkuu wa  Tanzania Mhe. Profesa Ibrahim Hamis Juma akisaini hati ya kiapo mara baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kushika wadhifa huo leo Ikulu Jijini Dar es Salaam. Profesa Ibrahim anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Jaji Mstaafu Othman Chande na kuwa jaji wa nane kushika wadhifa huo tangu tupate uhuru huku akiwa Mtanzania wa sita. Wapili kutoka kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi  Mhandisi Balozi  John Kijazi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akitia saini hati ya kiapo cha Jaji Mkuu wa Mahakama Tanzania Mhe. Profesa Ibrahimu Hamisi Juma mara baada ya kumuapisha kushika wadhifa huo leo Ikulu Jijini Dar es Salaam. Profesa Ibrahim anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Jaji Mstaafu Othman Chande na kuwa jaji wa nane kushika wadhifa huo tangu tupate uhuru huku akiwa Mtanzania wa sita. Wapili kutoka kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Balozi John Kijazi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli  akimkabidhi hati ya kiapo Jaji Mkuu wa Mahakama Tanzania Mhe. Profesa Ibrahimu Hamisi Juma mara baada ya kumuapisha kushika wadhifa huo leo Ikulu Jijini Dar es Salaam. Profesa Ibrahim anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Jaji Mstaafu Othman Chande na kuwa jaji wa nane kushika wadhifa huo tangu tupate uhuru huku akiwa Mtanzania wa sita. Wapili kutoka kushoto ni Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Balozi John Kijazi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akifafanua jambo wakati wa hafla ya kumuapisha Jaji Mkuu wa Mahakama Tanzania Mhe. Profesa Ibrahimu Hamisi Juma leo Ikulu Jijini Dar es Salaam. Profesa Ibrahim anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Jaji Mstaafu Othman Chande na kuwa jaji wa nane kushika wadhifa huo tangu tupate uhuru huku akiwa Mtanzania wa sita.

Jaji Mkuu wa Mahakama Tanzania Mhe. Profesa Ibrahimu Hamisi Juma akizungumza jambo wakati wa hafla ya kuapishwa kwake kushika wadhifa huo leo Ikulu Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli. Profesa Ibrahim anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Jaji Mstaafu Othman Chande na kuwa jaji wa nane kushika wadhifa huo tangu tupate uhuru huku akiwa Mtanzania wa sita.

Waziri wa Sheria na Katiba Prof. Palamagamba Kabudi akielezea jambo wakati wa hafla ya kumuapisha Jaji Mkuu wa Mahakama Tanzania Mhe. Profesa Ibrahimu Hamisi Juma (aliyekaa mbele) leo Ikulu Jijini Dar es Salaam. Aliyekaa kulia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli. Profesa Ibrahim anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Jaji Mstaafu Othman Chande na kuwa jaji wa nane kushika wadhifa huo tangu tupate uhuru huku akiwa Mtanzania wa sita.

Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi (kushoto) akiteta jambo na Jaji Mkuu mstaafu Mhe. Othman Chande (kulia) pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju wakati wa hafla ya kuapishwa kwa Jaji Mkuu wa Mahakama Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma (hayupo pichani) leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na baadhi ya majaji waliohudhuria hafla ya kumuapisha Jaji Mkuu wa Mahakama Tanzania Mhe. Profesa Ibrahimu Hamisi Juma (hayupo pichani) leo Ikulu Jijini Dar es Salaam. Profesa Ibrahim anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Jaji Mstaafu Othman Chande na kuwa jaji wa nane kushika wadhifa huo tangu tupate uhuru huku akiwa Mtanzania wa sita.

Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi akifuatilia kwa makini hafla ya hafla ya kumuapisha Jaji Mkuu wa Mahakama Tanzania Mhe. Profesa Ibrahimu Hamisi Juma (hayupo pichani) leo Ikulu Jijini Dar es Salaam. Profesa Ibrahim anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Jaji Mstaafu Othman Chande na kuwa jaji wa nane kushika wadhifa huo tangu tupate uhuru huku akiwa Mtanzania wa sita.

Jaji Kiongozi Mhe. Ferdinand Wambali akiteta jambo na Jaji Mkuu mstaafu Mhe. Othman Chande (kulia) wakati wa hafla ya kuapishwa kwa Jaji Mkuu wa Mahakama Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma (hayupo pichani) leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli (katikati) akiteta jambo na Jaji Mkuu Mstaafu Mhe. Othman Chande mara baada ya kumalizika kwa hafla ya kumuapisha Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Profesa Ibrahimu Hamisi Juma (hayupo pichani) leo Ikulu Jijini Dar es Salaam, kulia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania Mhe. Job Ndugai. Profesa Ibrahim anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Jaji Mkuu Mstaafu Mhe. Othman Chande na kuwa jaji wa nane kushika wadhifa huo tangu tupate uhuru huku akiwa Mtanzania wa sita.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiteta jambo na Makamu wa Rais Mhe. Mama Samia Suluhu Hassan mara baada ya kumalizika kwa hafla ya kumuapisha Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Profesa Ibrahimu Hamisi Juma (hayupo pichani) leo Ikulu Jijini Dar es Salaam. Profesa Ibrahim anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Jaji Mkuu Mstaafu Othman Chande na kuwa jaji wa nane kushika wadhifa huo tangu tupate uhuru huku akiwa Mtanzania wa sita.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli (katikati) akiteta jambo na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa pamoja na Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi (katikati) mara baada ya kumalizika kwa hafla ya kumuapisha Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Profesa Ibrahimu Hamisi Juma (hayupo pichani) leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Rais Dkt. John Pombe Magufuli (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wenzake wa mihimili ya Serikali mara baada ya kumalizika kwa hafla ya kuapishwa Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Profesa Ibrahim Hamis Juma ( kushoto) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai leo Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Rais Dkt. John Pombe Magufuli (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Serikali na Majaji wa Mahakama Kuu Tanzania mara baada ya kumalizika kwa hafla ya kumuapisha Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Profesa Ibrahimu Juma leo Ikulu Jijini Dar es Salaam. (Picha na: Idara ya Habari – MAELEZO)

109 thoughts on “Rais Magufuli Amuapisha Jaji Mkuu Prof. Ibrahim Juma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama