Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais Magufuli Akutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimlaki Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere  Mzee Joseph Butiku aliyekutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam leo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Mzee Joseph Butiku aliyekutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mkuu wa Mwalimu Nyerere Mzee Joseph Butiku aliyekutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo. (Picha na Ikulu)

51 thoughts on “Rais Magufuli Akutana na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama