Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais Magufuli Akutana na MKurugenzi Mkuu wa Shirika la Chakula na Kilimo Duniani

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Chakula na Kilimo Duniani Bw. José Graziano da Silva alipokutana naye Ikulu jijini Dar es Salaam leo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitambulishwa kwa Mwakilishi Mkazi wa FAO nchini Bw. Fred Kafeero na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Chakula na Kilimo Duniani Bw. alipokutana naye Ikulu jijini Dar es Salaam leo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Bw. Meshack Malo Ofisa aliyeongozana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Chakula na Kilimo Duniani Bw. José Graziano da Silva alipokutana naye Ikulu jijini Dar es Salaam leo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea kitabu na kadi toka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Chakula na Kilimo Duniani Bw. Bw. José Graziano da Silva alipokutana naye Ikulu jijini Dar es Salaam leo. (Picha na Ikulu)uli

206 thoughts on “Rais Magufuli Akutana na MKurugenzi Mkuu wa Shirika la Chakula na Kilimo Duniani

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama