Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais Magufuli Atengua Uteuzi wa Profesa Muhongo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza wakati wa hafla ya kupokea ripoti ya kamati ya kwanza ya iliyoiunda kwa ajili ya kuchunguza kiwango cha madini kilichopo kwenye mchanga wa madini (Makinikia) uliokamatwa katika bandari ya Dar es Salaam ukiwa katika makontena 277 tayari kwa kusafirishwa nje ya nchi. Kutoka kulia ni Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Mhandisi John Kijazi.

Na Jacquiline Mrisho.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo muda mfupi baada ya kupokea ripoti ya Kamati ya kuchunguza mchanga wa madini (makinikia) uliomo kwenye makontena yaliyozuiliwa na Serikali kusafirishwa nje ya nchi.

Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi imeeleza kuwa nafasi ya Waziri wa Nishati na Madini itajazwa baadae.

Mapema asubuhi baada ya kupokea ripoti hiyo iliyoonesha mchanga uliokuwa unachunguzwa ulikuwa na wastani wa kiasi cha thamani kati ya shilingi bilioni 829.4 kwa kutumia viwango vya wastani wa chini na trilioni 1.439 kwa kutumia viwango vya juu.

Mwenyekiti wa Kamati ya kwanza ya Wataalam wa Jiolojia iliyoiundwa kwa ajili ya kuchunguza kiwango na aina ya madini yaliyopo kwenye mchanga wa madini (Makinikia), Profesa Abdulkarim Hamis Mruma akiwasilisha ripoti yao mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli (hayupo pichani) wakati hafla ya kuwasilisha ripoti hiyo Ikulu jijini Dar es Salaam leo. Kamati hiyo ya watu wanane iliundwa kufuatia kukamatwa kwa makontena 277 yakiwa na mchanga huo katika bandari ya Dar es Salaam tayari kwa kusafirishwa nje ya nchi. Kutoka kulia ni Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Mhandisi John Kijazi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea ripoti kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati ya kwanza ya Wataalam wa Jiolojia iliyoiundwa kwa ajili ya kuchunguza kiwango na aina ya madini yaliyopo kwenye mchanga wa madini (Makinikia), Profesa Abdulmalik Mruma katika hafla iliyofanyika leo Ikulu Jijini Dar es Salaam. Kamati hiyo iliundwa kufuatia kukamatwa kwa makontena 277 yakiwa na mchanga huo katika bandari ya Dar es Salaam tayari kwa kusafirishwa nje ya nchi. Katikati ni Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan.

Kufuatia taarifa hiyo Rais Magufuli aliivunja Bodi ya Wakala wa Ukaguzi wa Madini Tanzania (TMAA) na kumsimamisha kazi Mtendaji Mkuu wa Wakala hiyo kutokana na kutosimamia ipasavyo mchakato mzima wa usafirishaji mchanga wenye madini nje ya nchi na hivyo kuisababishia nchi hasara kubwa.

“Nawapongeza Kamati kwa ripoti mliyoiwasilisha ambayo inasikitisha na ripoti hii haiwezi kupita hivi hivi kwani tutaonekana watu wa ajabu. Hivyo kuanzia sasa nimeivunja rasmi Bodi ya Wakala wa Ukaguzi wa Madini (TMAA), nimemsimamisha kazi Afisa Mtendaji Mkuu wa TMAA pia  namtaka Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo ambaye ni rafiki yangu lakini kwenye hili ningependa ajifikirie na achukue hatua ya kujiuzuru”, alieleza Rais Magufuli kabla ya kutengua uteuzi wa Waziri Muhongo.

Mbali na kutengua uteuzi wa Waziri wa Nishati, kuvunja Bodi ya Wakurugenzi na kumsimamisha kazi Mtendaji Mkuu wa TMAA, Dkt. Magufli pia amevitaka vyombo vya dola kuwachunguza na kuwachukulia hatua watendaji wa Wizara ya Nishati na Madini na wafanyakzi wote waliohusika na kushindwa kusimamia vema mchakato mzima wa usafirishaji wa mchanga wenye madini nje ya nchi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipitia ripoti ya Kamati ya kwanza ya Wataalam wa Jiolojia iliyoiundwa kwa ajili ya kuchunguza kiwango na aina ya madini yaliyopo kwenye mchanga wa madini (Makinikia) mara baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Profesa AbdulKarim Hamis Mruma (kushoto) katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo. Kamati hiyo iliundwa kufuatia kukamatwa kwa makontena 277 yakiwa na mchanga huo katika bandari ya Dar es Salaam tayari kwa kusafirishwa nje ya nchi. Kutoka kulia ni Wazri Mkuu Kassim Majaliwa na Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan (watatu kutoka kulia).

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata ufafanuzi kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati ya kwanza ya Wataalam wa Jiolojia iliyoiundwa kwa ajili ya kuchunguza kiwango na aina ya madini yaliyopo kwenye mchanga wa madini (Makinikia), Profesa Abdulkarim Hamis Mruma kuhusu baadhi ya takwimu zilizopo katika ripoti ya Kamati ya kwanza ya Wataalam wa Jiolojia iliyoiundwa kwa ajili ya kuchunguza kiwango na aina ya madini yaliyopo kwenye mchanga wa madini (Makinikia) mara baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti huyo Ikulu Jijini Dar es Salaam leo. Kamati hiyo iliundwa kufuatia kukamatwa kwa makontena 277 yakiwa na mchanga huo katika bandari ya Dar es Salaam tayari kwa kusafirishwa nje ya nchi. Kululia ni Wazri Mkuu Kassim Majaliwa.

Wajumbe wa Kamati ya Kwanza ya Wataalam wa Jiolojia iliyoiundwa kwa ajili ya kuchunguza kiwango na aina ya madini yaliyopo kwenye mchanga wa madini (Makinikia) wakiwa tayari kwa kuwasilisha ripoti yao katika hafla iliyofanyika Ikulu leo Jijini Dar es Salaam. Kamati hiyo iliundwa tarehe 29 Machi 2017, kufuatia kukamatwa kwa makontena 277 yakiwa na mchanga huo katika bandari ya Dar es Salaam tayari kwa kusafirishwa nje ya nchi. Wajumbe wa Kamati hiyo iliyoongozwa na Mwenyekiti wake Profesa Abdulkarim Hamis Mruma, wengine ni Profesa Justianian Rwezaura Ikingula, Profesa Joseph Bushweshaiga, Dk Yusuf Ngenya, Dk Joseph Yoweza Philip, Dk Ambrose Itika, Mohamed Zengo Makongoro na Hery Issa Gombela.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akisalimiana na Viongozi wa Vyama vya Siasa alipokutana nao katika hafla ya kukabidhi ripoti ya Kamati ya kwanza ya Wataalam wa Jiolojia iliyoiundwa kwa ajili ya kuchunguza kiwango na aina ya madini yaliyopo kwenye mchanga wa madini (Makinikia) Ikulu Jijini Dar es Salam leo.

Mkuu wa Jeshi la Ulinzi Tanzania – JWTZ, (CDF) Venance Mabeyo akiteta jambo na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji George Masaju alipokutana nao katika hafla ya kukabidhi ripoti ya Kamati ya kwanza ya Wataalam wa Jiolojia iliyoiundwa kwa ajili ya kuchunguza kiwango na aina ya madini yaliyopo kwenye mchanga wa madini (Makinikia) Ikulu Jijini Dar es Salam leo. Kamati hiyo iliundwa tarehe 29 Machi 2017, kufuatia kukamatwa kwa makontena 277 yakiwa na mchanga huo katika bandari ya Dar es Salaam tayari kwa kusafirishwa nje ya nchi.

Wasanii wa Kundi la Tanzania All Stars wakitumbuiza wimbo wa kuhamasisha uzalendo wakati wa hafla ya kukabidhi ripoti ya Kamati ya kwanza ya Wataalam wa Jiolojia iliyoiundwa kwa ajili ya kuchunguza kiwango na aina ya madini yaliyopo kwenye mchanga wa madini (Makinikia) Ikulu Jijini Dar es Salam leo. Kamati hiyo iliundwa tarehe 29 Machi 2017, kufuatia kukamatwa kwa makontena 277 yakiwa na mchanga huo katika bandari ya Dar es Salaam tayari kwa kusafirishwa nje ya nchi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Joseph Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati ya Kamati ya kwanza ya Wataalam wa Jiolojia iliyoiundwa kwa ajili ya kuchunguza kiwango na aina ya madini yaliyopo kwenye mchanga wa madini (Makinikia) Ikulu Jijini Dar es Salam leo. Kamati hiyo iliundwa tarehe 29 Machi 2017, kufuatia kukamatwa kwa makontena 277 yakiwa na mchanga huo katika bandari ya Dar es Salaam tayari kwa kusafirishwa nje ya nchi.(Picha na: Frank Shija).

Akifafanua taarifa ya ripoti hiyo, Mwenyekiti wa Kamati ya Uchunguzi wa Mchanga wa Madini, Prof. Abdulkarim Mruma amesema kuwa katika uchunguzi huo wamebaini kuwa kuna viwango vikubwa vya madini yanayojulikana pamoja na aina zingine za madini yasizojulikana ambayo ni muhimu na ya gharama ambayo yalikuwa yakichukuliwa bila kuhesabiwa.

“Tumeyafanyia uchunguzi jumla ya makontena 277 ambayo yalizuiliwa kusafirishwa na Mhe. Rais Magufuli kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi wa kina hivyo katika uchunguzi wetu tumegundua kuwa makontena 277 yenye madini ya kawaida pamoja madini ya kimkakati thamani yake ni wastani wa bilioni 829.4 hadi trilioni 1.439”, alisema Prof. Mruma.

Prof. Mruma ameongeza kuwa Kamati hiyo imebaini ukosefu wa vifaa vya kukagulia (scanner) vitu vilivyomo kwenye makontena hayo kwani baada ya kufanya ukaguzi vifaa hivyo havikuonyesha vitu vilivyomo ndani.

Machi 29 mwaka huu, Rais Magufuli aliunda Kamati ya kwanza ya watu nane ikiongozwa na Profesa Abdulrahim Mruma kuchunguza makontena 277 yenye mchanga uliokuwa usafirishwe nje ya nchi.

 

 

157 thoughts on “Rais Magufuli Atengua Uteuzi wa Profesa Muhongo

 • Pingback: viagra india

 • Pingback: cialis 20mg price

 • Pingback: viagra generic

 • Pingback: top ed pills

 • Pingback: pills erectile dysfunction

 • Pingback: cheapest ed pills

 • Pingback: generic cialis

 • Pingback: online canadian pharmacy

 • Pingback: Real cialis online

 • Pingback: vardenafil cost

 • Pingback: vardenafil for sale

 • Pingback: real money casino online

 • Pingback: online gambling

 • Pingback: viagra reviews

 • Pingback: online casino

 • Pingback: online gambling

 • Pingback: loans online

 • Pingback: cash loan

 • Pingback: cash advance online

 • Pingback: viagra prescription

 • Pingback: generic cialis

 • Pingback: online casino american

 • Pingback: cialis to buy

 • Pingback: play online casino real money

 • Pingback: online gambling

 • Pingback: online casinos

 • Pingback: cheapest viagra

 • Pingback: generic viagra canada

 • Pingback: sildenafil 20 mg

 • Pingback: viagra pill

 • Pingback: liquid tadalafil

 • Pingback: buy viagra uk

 • Pingback: viagra without doctor prescription

 • Pingback: canadian pharmacy viagra

 • Pingback: buy viagra single packs

 • September 15, 2020 at 10:04 am
  Permalink

  viagra and diphenhydramine
  generic viagra names
  lovely lilith viagra falls 2

  Reply
 • September 17, 2020 at 8:08 am
  Permalink

  how do i know if viagra is working
  viagra no prescription viaonlinebuy.us viagra pill
  how long should you wait after eating to take viagra

  Reply
 • September 17, 2020 at 9:48 am
  Permalink

  It is appropriate time to make some plans for the future and it is time to be happy. I’ve read this post and if I could I want to suggest you some interesting things or advice. Maybe you can write next articles referring to this article. I desire to read more things about it!

  Reply
 • Pingback: best online pharmacy to buy viagra

 • September 27, 2020 at 2:18 am
  Permalink

  Your method of describing everything in this article is truly good, every one be capable of simply understand it, Thanks a lot.

  Reply
 • Pingback: viagra generic

 • October 26, 2020 at 10:55 am
  Permalink

  I stay at home and look after the children 2 phenoxyethanol uses Investigators believed there might be “incendiary devices” inside the home, and as a precautionary measure the Ventura County Bomb Squad was called to the home to ensure the scene was safe. Homes were temporarily evacuated in the area, officials said.

  Reply
 • October 26, 2020 at 12:16 pm
  Permalink

  I’d like to send this parcel to compare macrobid prices Ford launched MyFord Touch in vehicles in 2010. The systemwas designed to centralize audio, navigation, climate,mobile-device, entertainment and safety controls through LCDinterfaces powered by Microsoft’s Sync operating system. TheMyFord Touch system can be controlled via a touch-screen panel,voice commands or by buttons on the steering wheel.

  Reply
 • October 26, 2020 at 1:18 pm
  Permalink

  There’s a three month trial period order generic wellbutrin online The EarlySense system works well for patients, Munn says, because they are largely unaware of it. They’re not tethered to monitors, and nurses don’t have to wake them up to check vital signs or roll over patients who are moving enough on their own.

  Reply
 • October 26, 2020 at 1:42 pm
  Permalink

  I’m not working at the moment caravans to buy in butlins skegness More than 5,700 people missing since floods devastated northern India last month are being presumed dead, even as rescue officials struggle to bring aid to affected villages, top officials said Tuesday.

  Reply
 • October 26, 2020 at 9:13 pm
  Permalink

  Withdraw cash only me spray kya hai India’s navy said on Friday divers had found the bodies of four sailors who were on board a submarine badly damaged by a fire and explosions and that it was unlikely any of 14 other missing crew members would be found alive.

  Reply
 • October 26, 2020 at 10:12 pm
  Permalink

  I can’t hear you very well ibuprofen gel 100g Before taking the plunge, you need to evaluate if it makes sense to buy. Potential Veterans Administration home loan borrowers undergo pre-purchase counseling to determine whether a mortgage is truly affordable. While this type of borrower education is not mandatory for first time homebuyers, it’s good practice. Below are some housing finance tips from one millennial to another to help you underwrite yourself:

  Reply
 • October 26, 2020 at 11:32 pm
  Permalink

  Where’s the nearest cash machine? cresemba copay assistance With 11 percent of S&P 500 companies having reported, about57 percent have topped profit expectations, below the historicalaverage of 63 percent. The number of companies topping revenueforecasts has also been below the historical average.

  Reply
 • October 27, 2020 at 3:13 am
  Permalink

  Get a job atrovent and ventolin nebuliser JPMorgan has added 4,000 staff to its control group since2012 – three quarters of them this year – and increased spendingon those efforts by about $1 billion. The bank’s control groupincludes risk, compliance, legal, finance, technology, oversightand control and audit functions.

  Reply
 • October 27, 2020 at 5:16 am
  Permalink

  I’m self-employed kamagra comprims effervescents Issuing a “Motu Proprio” – a decree at his own initiative,Francis said the Vatican’s internal watchdog, the FinancialInformation Authority (FIA), would have increased powers ofsupervision over the bank and other Holy See departmentsinvolved in financial activities.

  Reply
 • October 27, 2020 at 9:31 am
  Permalink

  I’d like , please honeycolony silver Kaeser will have to face down the unions and pare backSiemens’ unwieldy business portfolio in order to boostprofitability. Crucially, he must show he can say no tocontracts that could come back to bite the company.

  Reply
 • Pingback: cephalexin 500 mg tablet

 • Pingback: wind creek casino online play

 • Pingback: slot machine games

 • Pingback: slot machine

 • January 2, 2021 at 9:53 pm
  Permalink

  Hello there, I found your site via Google whilst searching for a related topic, your web site got here up, it seems to be great. I have bookmarked it in my google bookmarks.

  Reply
 • January 3, 2021 at 6:25 am
  Permalink

  Thanks for some other informative web site. The place else could I am getting that type of info written in such an ideal approach? I have a project that I am just now operating on, and I have been on the look out for such info.|

  Reply
 • January 3, 2021 at 6:55 am
  Permalink

  Wow that was odd. I just wrote an very long comment but after I clicked submit my comment didn’t show up. Grrrr… well I’m not writing all that over again. Anyway, just wanted to say excellent blog!|

  Reply
 • January 3, 2021 at 7:36 pm
  Permalink

  Hi there I am so excited I found your webpage, I really found you by mistake, while I was looking on Bing for something else, Anyways I am here now and would just like to say many thanks for a marvelous post and a all round exciting blog (I also love the theme/design), I don’t have time to read through it all at the moment but I have book-marked it and also added your RSS feeds, so when I have time I will be back to read more, Please do keep up the excellent job.|

  Reply
 • January 3, 2021 at 7:52 pm
  Permalink

  I read this article fully on the topic of the difference of most recent and previous technologies, it’s amazing article.|

  Reply
 • January 4, 2021 at 10:49 am
  Permalink

  You can definitely see your enthusiasm within the work you write. The sector hopes for more passionate writers like you who aren’t afraid to mention how they believe. At all times follow your heart.|

  Reply
 • Pingback: zithromax 100 mg usa

 • January 5, 2021 at 8:48 am
  Permalink

  I am not sure where you’re getting your information, but good topic. I needs to spend some time learning much more or understanding more. Thanks for wonderful info I was looking for this info for my mission.|

  Reply
 • Pingback: zocor 20 mg otc

 • January 6, 2021 at 3:17 am
  Permalink

  Hello! I’m at work surfing around your blog from my new iphone 4! Just wanted to say I love reading through your blog and look forward to all your posts! Carry on the great work!|

  Reply
 • January 6, 2021 at 3:36 am
  Permalink

  My programmer is trying to convince me to move to .net from PHP. I have always disliked the idea because of the expenses. But he’s tryiong none the less. I’ve been using WordPress on several websites for about a year and am nervous about switching to another platform. I have heard excellent things about blogengine.net. Is there a way I can transfer all my wordpress posts into it? Any kind of help would be really appreciated!|

  Reply
 • January 6, 2021 at 7:28 am
  Permalink

  I simply couldn’t go away your web site before suggesting that I really enjoyed the usual info an individual provide for your guests? Is gonna be again regularly to check up on new posts|

  Reply
 • January 7, 2021 at 5:06 am
  Permalink

  Today, I went to the beach front with my kids. I found a sea shell and gave it to my 4 year old daughter and said “You can hear the ocean if you put this to your ear.” She put the shell to her ear and screamed. There was a hermit crab inside and it pinched her ear. She never wants to go back! LoL I know this is entirely off topic but I had to tell someone!|

  Reply
 • January 7, 2021 at 5:21 am
  Permalink

  I am regular reader, how are you everybody? This post posted at this site is in fact nice.|

  Reply
 • January 7, 2021 at 2:51 pm
  Permalink

  Very nice post. I just stumbled upon your blog and wished to say that I’ve really loved browsing your weblog posts. After all I will be subscribing for your feed and I hope you write again soon!|

  Reply
 • January 8, 2021 at 6:55 am
  Permalink

  You’re so cool! I do not suppose I’ve read a single thing like that before. So wonderful to find another person with a few original thoughts on this topic. Seriously.. thanks for starting this up. This website is something that is needed on the internet, someone with a little originality!|

  Reply
 • January 8, 2021 at 4:18 pm
  Permalink

  Today, I went to the beach with my children. I found a sea shell and gave it to my 4 year old daughter and said “You can hear the ocean if you put this to your ear.” She placed the shell to her ear and screamed. There was a hermit crab inside and it pinched her ear. She never wants to go back! LoL I know this is totally off topic but I had to tell someone!|

  Reply
 • Pingback: tadalafil 20 mg purchase

 • January 9, 2021 at 3:15 pm
  Permalink

  This is a very good tip especially to those new to the blogosphere. Simple but very precise information… Many thanks for sharing this one. A must read post!|

  Reply
 • Pingback: escitalopram uk

 • January 9, 2021 at 8:28 pm
  Permalink

  Hi, i think that i saw you visited my web site so i came to “return the favor”.I’m trying to find things to improve my web site!I suppose its ok to use some of your ideas!!|

  Reply
 • January 10, 2021 at 7:47 pm
  Permalink

  Howdy would you mind sharing which blog platform you’re using? I’m planning to start my own blog soon but I’m having a tough time making a decision between BlogEngine/Wordpress/B2evolution and Drupal. The reason I ask is because your design and style seems different then most blogs and I’m looking for something completely unique. P.S Apologies for being off-topic but I had to ask!|

  Reply
 • January 11, 2021 at 6:57 pm
  Permalink

  Hi there! I could have sworn I’ve been to this blog before but after checking through some of the post I realized it’s new to me. Anyways, I’m definitely delighted I found it and I’ll be bookmarking and checking back often!|

  Reply
 • January 12, 2021 at 7:55 am
  Permalink

  Hi there, everything is going perfectly here and ofcourse every one is sharing data, that’s really excellent, keep up writing.|

  Reply
 • January 12, 2021 at 7:18 pm
  Permalink

  Because the admin of this web page is working, no uncertainty very quickly it will be renowned, due to its feature contents.|

  Reply
 • January 12, 2021 at 7:34 pm
  Permalink

  It’s awesome to pay a quick visit this web page and reading the views of all colleagues on the topic of this post, while I am also eager of getting familiarity.|

  Reply
 • January 13, 2021 at 11:46 pm
  Permalink

  Pretty! This has been an incredibly wonderful article. Thanks for supplying this information.|

  Reply
 • January 14, 2021 at 8:52 am
  Permalink

  I visited various sites but the audio quality for audio songs current at this web site is actually wonderful.|

  Reply
 • Pingback: where to buy anastrozole 1mg

 • January 15, 2021 at 11:43 pm
  Permalink

  Please let me know if you’re looking for a article writer for your blog. You have some really good posts and I think I would be a good asset. If you ever want to take some of the load off, I’d really like to write some material for your blog in exchange for a link back to mine. Please blast me an e-mail if interested. Cheers!|

  Reply
 • Pingback: where can i buy clonidinemg

 • January 18, 2021 at 8:29 am
  Permalink

  My coder is trying to persuade me to move to .net from PHP. I have always disliked the idea because of the expenses. But he’s tryiong none the less. I’ve been using WordPress on several websites for about a year and am anxious about switching to another platform. I have heard excellent things about blogengine.net. Is there a way I can import all my wordpress content into it? Any help would be really appreciated!|

  Reply
 • January 18, 2021 at 8:46 am
  Permalink

  I have learn several excellent stuff here. Certainly price bookmarking for revisiting. I surprise how a lot attempt you place to make this sort of excellent informative website.|

  Reply
 • Pingback: how to buy cephalexin 500mg

 • January 19, 2021 at 7:27 pm
  Permalink

  You’ve made some good points there. I looked on the web for more information about the issue and found most individuals will go along with your views on this site.|

  Reply
 • January 20, 2021 at 7:36 am
  Permalink

  how long does it take cialis to take effect cialis generic iblyfanl tadalafil vs cialis

  Reply
 • January 20, 2021 at 8:57 am
  Permalink

  Hey there! Someone in my Myspace group shared this website with us so I came to check it out. I’m definitely enjoying the information. I’m book-marking and will be tweeting this to my followers! Superb blog and outstanding design and style.|

  Reply
 • January 24, 2021 at 10:44 pm
  Permalink

  Hello There. I found your blog using msn. This is a really well written article. I’ll be sure to bookmark it and return to read more of your useful information. Thanks for the post. I will certainly return.|

  Reply
 • January 26, 2021 at 4:33 pm
  Permalink

  Greetings! I know this is somewhat off topic but I was wondering if you knew where I could get a captcha plugin for my comment form? I’m using the same blog platform as yours and I’m having difficulty finding one? Thanks a lot!|

  Reply
 • January 28, 2021 at 4:08 pm
  Permalink

  We are a group of volunteers and starting a new scheme in our community. Your website offered us with valuable info to work on. You’ve done an impressive job and our whole community will be grateful to you.|

  Reply
 • Pingback: where to buy amitriptyline

 • February 1, 2021 at 9:11 am
  Permalink

  Hi it’s me, I am also visiting this site regularly, this web site is truly good and the users are actually sharing good thoughts.|

  Reply
 • Pingback: permethrin 30g no prescription

 • February 4, 2021 at 2:53 am
  Permalink

  I’m not that much of a online reader to be honest but your blogs really nice, keep it up! I’ll go ahead and bookmark your site to come back later on. Many thanks|

  Reply
 • February 4, 2021 at 3:12 am
  Permalink

  Good day! I just wish to give you a huge thumbs up for your great information you have got here on this post. I’ll be coming back to your web site for more soon.|

  Reply
 • Pingback: cost of etodolac

 • Pingback: clotrimazole 10g canada

 • March 19, 2021 at 3:53 pm
  Permalink

  Excellent site you have here but I was wanting to know if you knew of any community forums that cover the same topics talked about here? I’d really love to be a part of community where I can get responses from other knowledgeable individuals that share the same interest. If you have any recommendations, please let me know. Thanks a lot!|

  Reply
 • March 19, 2021 at 4:08 pm
  Permalink

  Having read this I believed it was really informative. I appreciate you spending some time and effort to put this information together. I once again find myself spending a significant amount of time both reading and leaving comments. But so what, it was still worth it!|

  Reply
 • Pingback: how to purchase metoclopramide

 • March 21, 2021 at 8:40 pm
  Permalink

  Thanks for the marvelous posting! I seriously enjoyed reading it, you happen to be a great author.I will make certain to bookmark your blog and will often come back sometime soon. I want to encourage you to definitely continue your great job, have a nice afternoon!|

  Reply
 • March 21, 2021 at 8:55 pm
  Permalink

  Hey there would you mind stating which blog platform you’re using? I’m looking to start my own blog in the near future but I’m having a hard time making a decision between BlogEngine/Wordpress/B2evolution and Drupal. The reason I ask is because your design and style seems different then most blogs and I’m looking for something completely unique. P.S Apologies for being off-topic but I had to ask!|

  Reply
 • March 25, 2021 at 12:59 am
  Permalink

  What i don’t realize is if truth be told how you’re not actually a lot more neatly-favored than you may be right now. You are very intelligent. You understand therefore significantly in terms of this topic, made me in my opinion imagine it from so many numerous angles. Its like men and women don’t seem to be interested unless it’s something to accomplish with Woman gaga! Your own stuffs nice. Always care for it up!|

  Reply
 • March 25, 2021 at 1:14 am
  Permalink

  It’s a shame you don’t have a donate button! I’d most certainly donate to this superb blog! I guess for now i’ll settle for bookmarking and adding your RSS feed to my Google account. I look forward to new updates and will talk about this website with my Facebook group. Chat soon!|

  Reply
 • March 28, 2021 at 1:45 pm
  Permalink

  Heya! I’m at work browsing your blog from my new iphone! Just wanted to say I love reading your blog and look forward to all your posts! Keep up the outstanding work!|

  Reply
 • May 12, 2021 at 12:14 am
  Permalink

  I do not even understand how I finished up here, but I believed this post was once great. I don’t recognise who you are but definitely you’re going to a famous blogger if you are not already. Cheers!|

  Reply
 • May 12, 2021 at 12:23 am
  Permalink

  I am genuinely thankful to the holder of this site who has shared this fantastic piece of writing at at this time.|

  Reply
 • May 15, 2021 at 12:03 am
  Permalink

  Magnificent goods from you, man. I have be aware your stuff previous to and you are simply extremely fantastic. I actually like what you have received right here, really like what you are stating and the way in which by which you say it. You make it entertaining and you still take care of to stay it smart. I can’t wait to read much more from you. That is really a wonderful site.|

  Reply
 • May 15, 2021 at 12:13 am
  Permalink

  Aw, this was an extremely nice post. Finding the time and actual effort to produce a great article… but what can I say… I put things off a lot and never manage to get nearly anything done.|

  Reply

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama