Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais Kikwete aongoza mazishi ya Chifu Mkwawa, Iringa

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Chifu mpya wa Wahehe, Chifu Adam Abdu Mkwawa, Mtwa Adam wa Pili (14), wakati wa mazishi ya baba yake aliyekuwa Chifu wa Kabila la Wahehe, Chifu Abdu Mfwimi Adam Mkwawa katika eneo la Nyumba ya Makumbusho ya Chifu Mkwawa, Kijiji cha Karenga, Februari 16, 2015

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji Chifu mpya wa
Wahehe, Chifu Adam Abdu Mkwawa, Mtwa Adam wa Pili (14), wakati wa
mazishi ya baba yake aliyekuwa Chifu wa Kabila la Wahehe, Chifu Abdu
Mfwimi Adam Mkwawa katika eneo la Nyumba ya Makumbusho ya Chifu
Mkwawa, Kijiji cha Karenga, Februari 16, 2015

mk6

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole mjane wa aliyekuwa Chifu wa Kabila la Wahehe, Chifu Abdu Mfwimi Adam Mkwawa leo Kijiji cha Karenga Februari 16, 2015.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa pole mjane wa aliyekuwa Chifu
wa Kabila la Wahehe, Chifu Abdu Mfwimi Adam Mkwawa Kijiji cha
Karenga Februari 16, 2015.

mk8

184 thoughts on “Rais Kikwete aongoza mazishi ya Chifu Mkwawa, Iringa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama