Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais Dkt. Shein Azungumza na Uongozi wa Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akiongoza Mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akifungua wa Utekelezaji wa Mpango Kazi Wizara ya Biashara Viwanda Zanzibar, katika Ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar

Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe Balozi Amina Salum Ali akisoma taarifa ya Wizara yake wakati wa mkutano wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara hiyo, uliofanyika Ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar kulia Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee na kushoto Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na Viwanda Ndg. Ali Khamis.

Baadhi ya Watendaji wa Idara za Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar ,wakifuatilia mkutano huo wa Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar, uliofanyika katika Ukumbi wa Ikulu Ndogo Kibweni Zanzibar

One thought on “Rais Dkt. Shein Azungumza na Uongozi wa Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar

Leave a Reply to Tinder dating site Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama