Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais Dkt. Shein Atoa Risala ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitoa risala ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan leo tarehe 26/05/2017 kwa Wananchi wa Zanzibar na Tanzania kwa ujumla na kuwatakia kheri katika mwezi huo, pia amewataka kujitahidi kufanya ibada kwa wingi ikiwemo kusoma Quran, kuswali hasa swala za Suna na kutoa zaka.(Picha na Ikulu – Zanzibar).

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama