Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais Dkt. Shein Akutana na Mkurugenzi wa TAKUKURU, Msajili wa Vyama vya Siasa

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akisalimiana na Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini Mhe.Jaji Frances Mutungi (katikati) alipofika kujitambulisha katikahafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa ikulu mjini Zanzibar,akifuatana na Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania Bw. Mohammed Ali Ahmed

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akizungumza na Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini Mhe. Jaji Frances Mutungi (katikati) alipofika kujitambulisha katika hafla iliyofanyika leo ukumbiwa Ikulu Mjini Zanzibar,(kushoto) Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania Bw.Mohammed Ali Ahmed

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)akifuatana na Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini Mhe.Jaji Frances Mutungi (kulia)baada ya mazungumzo alipofika kujitambulisha leo hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar(kushoto) Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania Bw.Mohammed Ali Ahmed [Picha na Ikulu.]25/09/2018

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Kamishna wa Polisi Diwani Athumani alipofika kujitambulisha Ikulu Mjini Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifuatana na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Kamishna wa Polisi Diwani Athumani baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar alipofika kujitambulisha,[Picha na Ikulu.]25/09/2018.

113 thoughts on “Rais Dkt. Shein Akutana na Mkurugenzi wa TAKUKURU, Msajili wa Vyama vya Siasa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama