Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais Dkt. Shein Akutana na Bodi ya Sanaa na Sensa

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na  Uongozi wa Wizara ya Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo pamoja na Bodi ya Wakurugenzi Baraza la Sanaa na Sensa ya Filamu na Uongozi wa Baraza la Sanaa na Sensa ya Filamu katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,ambacho kimejadili mambo mbali mbali ya kiutendaji. (Picha na Ikulu)

Katibu Mkuu wa  Wizara ya Habari, Utalii, Utamaduni na Michezo  Ndg. Omar Hassan Omar (katikati) alipokuwa akifafanua jambo wakati wa kikao cha siku moja cha pamoja cha Wizara, Bodi ya Wakurugenzi Baraza la Sanaa na Sensa ya Filamu na Uongozi wa Baraza la Sanaa na Sensa ya Filamu kilichofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja, chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein (hayupo pichani),[Picha na Ikulu

99 thoughts on “Rais Dkt. Shein Akutana na Bodi ya Sanaa na Sensa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama