Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais Dkt. Magufuli Kuzindua Kampeni ya Utamaduni na Utaifa.

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu uzinduzi wa kampeni ya Utamaduni na Utaifa yenye kaulimbiu ya “NCHI YANGU KWANZA” uzinduzi huo utafanywa na Dkt. John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ijumaa Desemba 08, 2017 katika ukumbi wa Chimwaga Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kuanzia saa 9 mchana. Kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi.

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akiongea na waandishi wa habari kuhusu uzinduzi wa kampeni ya Utamaduni na Utaifa yenye kaulimbiu ya “NCHI YANGU KWANZA” ambapo alisema dhumuni ya kampeni hii ni kuendelea kutengeneza Taifa ambalo linajali utamaduni, mila na desturi zake.

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akiongea na waandishi wa habari kuhusu uzinduzi wa kampeni ya Utamaduni na Utaifa yenye kaulimbiu ya “NCHI YANGU KWANZA” ambapo alisema kampeni hiyo itakuwa inafanyika kila mwaka na itakuwa ni sehemu ya kumbukumbu ya maadhimisho ya Baba wa Taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bw. Nicholous William  

PICHA NA IDARA YA HABARI-MAELEZO

154 thoughts on “Rais Dkt. Magufuli Kuzindua Kampeni ya Utamaduni na Utaifa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama