Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais Dkt. Magufuli Azungumza na Wananchi wa Ilula, Ruaha Mbuyuni na Ruaha Darajani Akiwa Njiani Kuelekea Mkoani Morogoro

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Mikumi wakati akieleka Kidatu mkoani Morogoro.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Ilula mkoani Iringa wakati akiwa njiani kuelekea mkoani Morogoro.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Ruaha mbuyuni mkoani Iringa wakati akiwa njiani kuelekea mkoani Morogoro.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Ruaha darajani mara bada ya kuingia mkoani Morogoro. (Picha na: Ikulu)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama