Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais Dkt. Magufuli Azindua Kiwanda cha Kuchakata Mahindi cha Mlale JKT Songea Mkoani Ruvuma

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wapili kutoka kulia, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Husein Mwinyi, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi CDF Jenerali Venance Mabeyo, watano kutoka kulia, Mkuu wa JKT Meja Jenerali Martin Busungu watano kutoka kushoto, Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Godfrey Zambi wanne kutoka kushoto pamoja na Mawaziri, akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Kiwanda cha Kuchakata Mahindi cha Mlale JKT kilichopo Songea mkoani Ruvuma.

Sehemu ya Mashine za Kiwanda hicho cha Kuchakata mahindi cha JKT Mlale.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua mashine za Kiwanda cha kuchakata Mahindi cha Mlale JKT kilichopo Songea mkoani Ruvuma huku akipata maelezo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Husein Mwinyi wakivuta utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Kiwanda cha Kuchakata Mahindi cha Mlale JKT kilichopo Songea mkoani Ruvuma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua sehemu ya awali ya mashine za kuchakata mahindi katika kiwanda hicho.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akibonyeza kitufe kuwasha mitambo ya kuchakata mahindi katika kiwanda hicho.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Gawio la Shilingi Milioni 700 kutoka kwa Mkuu wa JKT Meja Jenerali Martin Busungu mara baada ya uzinduzi wa Kiwanda hicho.

118 thoughts on “Rais Dkt. Magufuli Azindua Kiwanda cha Kuchakata Mahindi cha Mlale JKT Songea Mkoani Ruvuma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama