Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais Dkt. Magufuli Aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika leo Ijumaa tarehe 2 Novemba 2018 Ikulu jijini Dar es Salaam.

50 thoughts on “Rais Dkt. Magufuli Aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama