Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais Dkt Magufuli Akutana na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia, Aendesha Baraza la Mawaziri

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John PombeMagufuli akiwa na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya dunia nchini Bi. Bella Bird aliyekutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiendesha kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha na Ikulu)

61 thoughts on “Rais Dkt Magufuli Akutana na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia, Aendesha Baraza la Mawaziri

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama