Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais Dkt Magufuli Akutana na Maseneta wa Baraza la Marekani Ikulu Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Seneta James Inhofe wa Baraza la Marekani na ujumbe wake walipomtembelea na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Mhe. Inmi Patterson aliyeongozana na Seneta James Inhofe wa Baraza la Marekani na ujumbe wake walipomtembelea na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiteta jambo na Seneta James Inhofe wa Baraza la Marekani na ujumbe wake walipomtembelea na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiteta jambo na Seneta James Inhofe wa Baraza la Marekani na ujumbe wake walipomtembelea na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza Seneta James Inhofe wa Baraza la Marekani baada ya kufanya naye mazungumzo na ujumbe wake Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage, Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamis Kigwangala, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Suzane Kolimba wakiwa katika picha ya pamoja Maseneta wa Baraza la Marekani wakiongozwa na Seneta James Inhofe mara baada ya kufanya mazungumzo Ikulu jijini Dar es Salaam.

25 thoughts on “Rais Dkt Magufuli Akutana na Maseneta wa Baraza la Marekani Ikulu Jijini Dar es Salaam

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama