Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais Dkt Magufuli Akagua Ujenzi wa Madaraja ya Juu TAZARA na Ubungo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua maendeleo ya ujenzi wa daraja la juu (Fly Over) eneo la TAZARA jijini Dar es salaam akiwa ameongozana na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mkuu wa Mkoa a Dar es salaam Mhe. Paul Makonda mara tu baada ya kuwasili kutokea kijijini kwake Chato mkoani Geita leo Jumatano Novemba 15, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitoa maagizo ya kuvunjwa kwa sehemu ya majengo ya TANESCO (pichani nyuma) na la Wizara ya Maji ili kupisha ujenzi wa miundombinu baada ya kukagua maandalizi ya ujenzi wa daraja la ghorofa tatu la Ubungo (Ubungo Interchange) jijini Dar es salaam akiwa ameongozana na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mkuu wa Mkoa a Dar es salaam Mhe. Paul Makonda mara tu baada ya kuwasili kutokea kijijini kwake Chato mkoani Geita leo Jumatano Novemba 15, 2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza mwananchi Bi. Nyangoma James akieleza matatizo yake baada ya kukagua maandalizi ya ujenzi wa daraja la ghorofa tatu la Ubungo (Ubungo Interchange) jijini Dar es salaam akiwa ameongozana na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mkuu wa Mkoa a Dar es salaam Mhe. Paul Makonda mara tu baada ya kuwasili kutokea kijijini kwake Chato mkoani Geita leo Jumatano Novemba 15, 2017

Taswira za maendeleo ya ujenzi wa daraja la juu (Fly Over) eneo la TAZARA jijini Dar es salaam kama lilivyo leo Jumatano Novemba 15, 2017. Picha na IKULU

154 thoughts on “Rais Dkt Magufuli Akagua Ujenzi wa Madaraja ya Juu TAZARA na Ubungo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama