Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Rais Dkt Magufuli Ajulia Hali Wagonjwa Waliolazwa Katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe mama Janeth Magufuli wakimjulia hali Waziri wa zamani wa Viwanda na Biashara Dkt. Juma Ngasongwa walipotembelea Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete jijini Dar es salaam kuwajulia hali wagonjwa jana.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe mama Janeth Magufuli wakimjulia hali Mzee Celestine Bulima walipotembelea Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete jijini Dar es Salaam kuwajulia hali wagonjwa jana.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe mama Janeth Magufuli wakipata maelezo toka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete jijini Dar es Salaam Profesa Mohamed Janabi walipotembelea taasisi hiyo kuwajulia hali wagonjwa jana.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli nakiagana na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete jijini Dar es Salaam Profesa Mohamed Janabi walipotembelea taasisi hiyo kuwajulia hali wagonjwa jana. (Picha na IKULU)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama