Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

RAIS DKT. MAGUFULI AIFUTA MAMLAKA YA USTAWISHAJI MAKAO MAKUU CDA, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

<

unnamed
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisaini Amri ya Rais (Presidential
Order) kuifuta   Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu CDA, tukio
lililofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.

A
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasilikiza viongozi mbalimbali
waliokuwa wakichangia mara baada ya kusaini Amri ya Rais (Presidential
Order) kuifuta   Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu CDA,tukio
lililofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
A 1
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza mara baada ya kusaini Amri
ya Rais (Presidential Order) kuifuta   Mamlaka ya Ustawishaji Makao
Makuu CDA, tukio lililofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
A 3
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na viongozi mbalimbali wa
Serikali akiwemo Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim
Majaliwa, Waziri wa Ardhi William Lukuvi, Waziri wa Katiba na Sheria
Profesa Palamagamba Kabudi, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Mhandisi John
Kijazi kuhusu uamuzi wake wa kuifuta   Mamlaka ya Ustawishaji Makao
Makuu CDA,tukio lililofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Z
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza kabla ya kusaini Amri ya
Rais (Presidential Order) kuifuta   Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu
CDA,tukio lililofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
A 5
Viongozi mbalimbali wa Serikali
akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Jordan Rugimbana wakifatilia kwa makini
Hotuba ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya kutia saini Amri
ya Rais (Presidential Order) kuifuta   Mamlaka ya Ustawishaji Makao
Makuu CDADodoma ,tukio lililofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
unnamed
 Waziri wa Katiba na Sheria
akisoma Rasimu ya Amri ya Rais (Presidential Order) kabla ya Rais Dkt.
John Pombe Magufuli kuisaini ili kuifuta, Ikulu jijini Dar es Salaam.
A
Makamu wa Rais Samia Suluhu
Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Ardhi William Lukuvi
wakifatilia kwa makini wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akizungumza mara baada ya kuifuta
Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu CDA,tukio lililofanyika Ikulu jijini
Dar es Salaam.
A 1
 Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akizungumza katika kikao hicho.
A 2
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza katika kikao hicho.
A 3
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Makamu
wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Katibu Mkuu
Kiongozi Balozi Mhandisi John Kijazi, Waziri wa Ardhi William Lukuvi,
Waziri wa Katiba na Sheria Profesa Palamagamba Kabudi, Naibu Waziri
Ofisi ya Waziri mkuu, Kazi, Vijana na Ajira Anthony Mavunde pamoja na
Mwenyekiti wa CCM mkoani Dodoma Adam Kimbisa mara baada ya kuifuta
Mamlaka ya Ustawishaji Makao Makuu CDA,tukio lililofanyika Ikulu jijini
Dar es Salaam.
A 5
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu
wa CDA Eng. Paskasi Muragili mara baada ya kuifuta mamlaka hiyo Ikulu
jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU

>

88 thoughts on “RAIS DKT. MAGUFULI AIFUTA MAMLAKA YA USTAWISHAJI MAKAO MAKUU CDA, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama