Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Dkt. Shein Azungumza na Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar

Baadhi ya Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma ya Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) wakiwa katika mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika ukumbi wa Ikulu mjini Unguja leo.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma ya Maji na Nishati Zanzibar (ZURA), Haji Kali alipokuwa akitoa mchango na kuelezea maendeleo wakati wa kikao cha siku moja cha uongozi wa Wizara ya Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira na uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka hiyo ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) ndiye alikuwa Mwenyekiti wa kikao hicho kilichofanyika leo Ikulu mjini Unguja.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira na uongozi wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma ya Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) katika kikao cha siku moja kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu mjini Unguja.(Picha na Ikulu.)

81 thoughts on “Dkt. Shein Azungumza na Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama