Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Prof. Ole Gabriel Akabidhiwa Rasmi Ofisi Wizara ya Viwanda.

Aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji ambaye amehamishiwa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof Adolph Mkenda akisaini kitabu cha wageni wakati wa makabidhiano ya Ofisi.

 

Aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji ambaye amehamishiwa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof Adolph Mkenda akimuonesha Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Prof. Elisante Ole Gabriel kitabu kilichoainisha baadhi ya changamoto za kibiashara hapa nchini wakati wa makibidhiano ya Ofisi.

Aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji ambaye amehamishiwa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof Adolph Mkenda akimuonesha Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Prof. Elisante Ole Gabriel moja ya kiatu bandia kilikichoingizwa nchini kinyemela.

Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji Prof. Elisante Ole Gabriel akizungumza na watumishi wa Wizara hiyo mara baada ya kukabidhiwa Ofisi. (Picha na Beatrice Lyimo-Dodoma)

202 thoughts on “Prof. Ole Gabriel Akabidhiwa Rasmi Ofisi Wizara ya Viwanda.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama