Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Picha za Mchezo wa Mpira wa Miguu kati ya Wabunge wa Tanzania na wa EA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Sumve, Richard Ndasa katika mchezo wa mpira wa miguu kati ya Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma Aprili 26, 2018, katikati ni Mbunge wa Ulyankulu, John Kadutu.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge la Afrika ya Mashariki, Mhe.Martin Ngoga katika mchezo wa mpira wa miguu kati ya Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma Aprili 26, 2018.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wabunge wa Bunge la Afrika ya Mashariki katika mchezo wa mpira wa miguu kati ya Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, Aprili 26, 2018.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika mchezo wa mpira wa miguu kati ya Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, Aprili 26, 2018. Kutoka kushoto ni Mbunge wa Kalenga Godfrey Mgimwa, Mbunge wa Sumbawanga mjini Aeshi Hilaly,Mbunge wa Morogoro Mjini Aziz Abood naMbunge wa Arumeru Mashariki ,Joshua Nassari.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

202 thoughts on “Picha za Mchezo wa Mpira wa Miguu kati ya Wabunge wa Tanzania na wa EA

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama