Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Waziri Mkuu Akiteta Jambo na Mwanasheria Mkuu Bungeni

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akiteta jambo na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, George Masaju kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma leo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

4 thoughts on “Waziri Mkuu Akiteta Jambo na Mwanasheria Mkuu Bungeni

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama