Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Naibu Waziri Kanyasu Atembelewa na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania

Balozi wa Uingereza nchini Tanzania,Sarah Cooke (katikati) akizungumza na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Constantine Kanyasu (kulia) kuhusiana na mikakati mbalimbali ya kukabailiana na tatizo la ujangili wa tembo nchini mapema leo ofisini kwake Mpingo House jijini Dar es Salaam.

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Constantine Kanyasu (kulia) akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Sarah Cooke (katikati) mapema leo akiwa na ujumbe wake, wakati alipomtembelea ofisini kwake Mpingo House jijini Dar es Salaam

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Constantine Kanyasu(katikati) akizungumza na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, Sarah Cooke (kulia) kabla ya kuagana naye wakati alipotembelewa ofisini kwake jijini Dar es Salaam.(Picha Zote na Lusungu Helela-MNRT)

60 thoughts on “Naibu Waziri Kanyasu Atembelewa na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama