Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Mwijage Akutana na Menejimenti ya Wizara Yake

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage(Mb) akizungumza na Viongozi wa Wizara na Wakuu wa Idara kujadili utekelezaji wa shughuli za wizara.

Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Prof. Elisante Ole Gabriel akizungumza katika kikao cha Mhe. Waziri na wakuu wa Idara.

Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Prof. Elisante Ole Gabriel akizungumza katika kikao cha Mhe. Waziri na wakuu wa Idara.

109 thoughts on “Mwijage Akutana na Menejimenti ya Wizara Yake

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama