Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

MSEMAJI MPYA WA JESHI LA POLISI ATEMBELEA OFISI ZA IDARA YA HABARI- MAELEZO

Mkurugenzi wa Idara ya Habari-MAELEZO, Dkt. Hassan Abbas (kushoto) akizungumza na Msemaji Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Kamishina Msaidizi (ACP) Barnabas Mwakalukwa mara baada ya kuwasili Idara ya Habari kwa ajili ya utambulisho mapema leo hii Jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa Idara ya Habari – (MAELEZO), Dkt, Hassan Abbas, akimuonesha Msemaji Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Kamishina Msaidizi wa Jeshi la Polisi (ACP), Barnabas Mwakalukwa, moja ya Majarida yanayochapishwa na Idara ya Habari Maelezo katika ofisi za Idara hiyo jijini Dar es Salaam mapema hii leo.

Mkurugenzi wa Idara ya Habari – (MAELEZO), Dkt. Hassan Abbas, akiteta jambo na Msemaji Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Kamishina Msaidizi wa Jeshi la Polisi (ACP) Barnabas Mwakalukwa, mara baada ya kuwasili ofisini kwa Mkurugenzi huyo Jijini Dar es Salaam, mapema hii leo .

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Dkt. Hassan Abbas, (kushoto) akiwatambulisha baadhi ya Wafanyakazi wa Idara ya Habari Maelezo mbele ya Msemaji Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Kamishina Msaidizi wa Jeshi la Polisi (ACP) Barnabas Mwakalukwa (kulia), alipofika Makao Makuu ya Idara hiyo Jijini Da r es salaam mapema hii leo.

Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Dkt. Hassan Abbas, (katikati) akimuonesha Maktaba ya Idara ya Habari Maelezo, Msemaji Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Kamishina Msaidizi wa Jeshi la Polisi (ACP) Barnabas Mwakalukwa, katika makao makuu ya Idara hiyo Jijini Dar es salaam mapema hii leo.

Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo, Dkt. Hassan Abbas, akimuonesha Msemaji Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Kamishina Msaidizi wa Jeshi la Polisi (ACP) Barnabas Mwakalukwa, baadhi ya ofisi za Idara ya Habari Maelezo alipotembelea Idara hiyo mapema hii leo.

Mkurugenzi wa Idara ya habari maelezo, Dkt. Hassan Abbas, (kushoto) akimsikiliza Msemaji Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Kamishina Msaidizi wa Jeshi la Polisi (ACP) Barnabas Mwakalukwa (kulia) ofisini kwa Mkurugenzi huyo, alipofika kwaajili ya kutembelea Idara hiyo mapema hii leo.

Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo, Dkt. Hassan Abbas, akiagana na Msemaji Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Kamishina Msaidizi wa Jeshi la Polisi (ACP) Barnabas Mwakalukwa, katika ofisi za Idara hiyo mara baada ya Msemaji wa Jeshi la Polisi kukutana na Mkurengzi pamoja na wafanyakazi wa Idara ya Habari Maelezo mapema hii leo.

31 thoughts on “MSEMAJI MPYA WA JESHI LA POLISI ATEMBELEA OFISI ZA IDARA YA HABARI- MAELEZO

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama