
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (wa nne kushoto) akiendelea na ukaguzi wa ujenzi wa Soko la Kisasa la Kimkakati la Manispaa ya Morogoro Mkoani Morogoro .
Peter Haule, WFM, Morogoro
Halmashauri zote nchini zimetakiwa kujifunza kutekeleza miradi ya Kimakakati inayopatiwa ruzuku na Serikali, katika Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro kwa kuwa thamani halisi ya mradi wa Soko la kisasa utakaogharimu Sh. bilioni 17 hadi kukamilika kwake inaonekana.
Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Ashatu Kijaji, alipofanya ziara ya kikazi ya kutembelea na kukagua mradi wa kimkakati wa ujenzi wa Soko la Kisasa katika Manispaa ya Morogoro Mkoani Morogoro wenye lengo la kuzifanya Mamlaka za Serikali za Mitaa ziweze kujitegemea kimapato.
Dkt. Kijaji alisema kuwa Kama ipo halmashauri iliyopewa fedha za kutekeleza miradi ya kimkakati kwa kuwekeana mkataba na Serikali na bado inashindwa kufuata makubaliano ya mkataba ijifunze kutoka Manispaa ya Morogoro.
“Ukilinganisha na miradi mingine ya kimkakati niliyoikagua katika mikoa ya Dar es Salaam na Pwani, huu ni wa mfano, zipo halmashauri ambazo zimepewa fedha halafu zinarudi tena kuangalia upya mikataba ambayo waliwekeana saini na Serikali jambo ambalo linatia mashaka, tuje tujifunze kwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Morogoro kwa nini ameweza kwenda na wakati ulio katika mkataba”alisema Dkt. Kijaji.

Muonekano wa Soko la Kisasa la Kimkakati la Manispaa ya Morogoro, ambalo limekamilika kwa asilimia 30 na linatarajiwa kukabidhiwa kwa Serikali Septemba mwaka huu na kuhudumia wafanyabiashara zaidi ya 900.
Alipongeza hatua iliyofikiwa katika utekelezaji wa mradi huo ambao umefikia asilimia 30 japo walitakiwa kufikia asilimia 40 katika kipindi hiki kutokana na changamoto ya kujaa maji na kuutaka uongozi wa Manispaa hiyo kukamilisha ujenzi ndani ya kipindi cha miezi mitano ili wafanyabiashara waanze kulitumia soko hilo.
“Mapato ya Soko hili yataongezeka kutoka Shilingi bilioni moja, kwa mwaka hadi Sh. bilioni 4 kwa kuwa idadi ya wafanyabiashara itaongezeka kutoka 400 kwa sasa hadi 900 na huduma zingine zitatolewa kama Benki” alieleza Dkt. Kijaji.
Dkt. Kijaji alisema kuwa dhamira ya Mhe. Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, ya kuanzisha miradi ya kimkakati kwa manufaa ya watanzania itatimia kupitia mradi wa Soko la Kisasa la Manispaa ya Morogoro.
Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Bi. Regina Chonjo, ameishukuru Serikali kwa kupeleka mradi huo Wilayani kwake, kwa kuwa soko lililokuwepo lilijengwa mwaka 1953 hivyo kuwa na miundombinu mibovu iliyosababisha wananchi kuwa na magonjwa ya mlipuko kikiwemo kipindupindu, hivyo mradi huo si tu utaongeza mapato na kuweka mandhari nzuri, lakini pia utaimarisha afya za wananchi.

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) (kushoto) akiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Bi. Regina Chonjo, wakati akikagua ujenzi wa Soko la Kisasa la Kimkakati la Manispaa ya Morogoro, ambalo ndilo la mfano katika miradi ya kuziwezesha Mamlaka za Serikali za Mitaa kujitegemea kimapato.
Naye Meya ya Manispaa ya Morogoro Bw. Pascal Kihanga, alisema kuwa waliwaahidi wananachi kusimamia ujenzi wa Soko hilo jambo ambalo linatekelezwa kwa juhudi kubwa, hivyo kufikia mwezi Septemba mwaka huu mradi utakabidhiwa kwa Serikali na wafanyabiashara wote walioondolewa kupisha mradi na wengine watarudi.
Mhandisi wa Mradi huo Antonio Mkinga, amesema kuwa mradi huo utakamilika katika muda uliopangwa, kwa kuwa mpaka sasa hakuna vikwazo ambavyo vinaweza kuzuia utekelezaji wake.
Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro ni miongoni mwa Halmashauri 17 zilizokidhi vigezo vya kutekeleza jumla ya miradi 22 ya kimkakati nchini kwa mwaka wa fedha 2018/2019 kwa gharama ya shilingi bilioni 147 ambapo Manispaa hiyo ilipata mradi huo wa soko la kisasa litakalogharimu shilingi bilioni 17.
Pingback: viagra from canada
Pingback: is cialis generic
Pingback: price of cialis
Pingback: Buy viagra lowest price
Pingback: price of cialis
Pingback: is there a generic cialis
Pingback: cheap viagra
Pingback: best non prescription ed pills
Pingback: pills erectile dysfunction
Pingback: ed medications
Pingback: rx pharmacy
Pingback: cialis online
Pingback: levitra pill
Pingback: vardenafil usa
Pingback: levitra vardenafil
viagra cost: generic viagra prices
viagra side effects: sildenafil generic
https://wikigogy.org/# viagra generic
https://wikigogy.org/# best generic viagra websites
http://www.jnxly.cn/bbs/home.php?mod=space&uid=71453 – viagra prices
http://warrensburgfmc.org – generic cialis tadalafil 20mg
buy prescription drugs from canada erectile dysfunction treatment
generic viagra: is there a generic viagra
http://paxil100.com/ – buy paxil online
http://paxil100.com/ – paxil for menopause
http://diflucanfavdr.com/ – buy diflucan over the counter
http://propeciafavdr.com/ – propecia finasteride
http://cbdoilforsalecoupon.com/ cbd oil benefits and side effects
http://cbdoilforsalerate.com/ cbd products
http://cbdoilforsalerate.com/ organic cbd oil
http://omtivacbd.org/ – best cbd products
http://levph24.com – levitra 20 mg
https://soisunheros.org – ed drugs online from canada
buy prescription drugs online – buy ed pills online
buy ed pills online – buy prescription drugs online
Pingback: viagra pills
herbal ed remedies – ed natural remedies
best ed treatment – medications online
buy anti biotics without prescription – over the counter ed medication
buy viagra online canada: viagra 100mg
canada pharmacy online canada pharmacy online cheapest health insurance policy
buy cheap prednisone prednisone 40 mg rx
15 mg prednisone daily prednisone 40 mg tablet
canadian viagra.
In January matrix year, little wunivk level ill. It’s okay, honourable a mild generic viagra, which passed in five days. But the temperature in the twinkling of an eye returned beside the intent of the month: the thermometer showed 39. The old bean was urgently hospitalized with fever and convulsions. A infrequent hours later, three-year-old Yegor stopped breathing – he fell into a coma. With the better of a ventilator and a tracheostomy, the doctors resumed the trade of the lungs, but oxygen starvation struck the brain. The kid has out of the window everything that he managed to learn in three years. The diagnosis is posthypoxic encyphalopathy.
generic plaquenil – buy plaquenil online
how often to take 10mg cialis – buy cialis
buy cialis without prescriptions cheap cialis – https://cialis20walmart.com cialis price.
ordering viagra into australia how long does viagra last: https://withoutdct.com viagra ingredients
cost of cialis: average price cialis
cialisfavdrug.com – cialis coupon
buy cialis http://lm360.us/
Accustomed Information Fro this product
https://cialislevel.com generic cialis
http://zithromax10.com/ – zithromax cost
General Low-down Far this outcome
https://canadianpharmacysts.com online pharmacy
http://clomid10.com/ – clomid
order viagra cialis levitra
soft cialis generic
viagra tablet sale Situg Kig
General Dope About this product
https://levitrahill.com levitra
Global Message Fro this by-product
https://cialislevel.com cialis
https://cialiswalmart5.com buy cialis
Amazing quite a lot of valuable knowledge.
https://withoutxep.com viagra without a doctor prescription
Non-specific Low-down Here this by-product
https://cialislevel.com cialis
Our doctor consideration that Dad was it is possible that honest control superiors than Mom in this situation. Stricter, more persistent, resolve not regret on a former occasion again when you have need of to take miserable generic cialis. Lovingly, I wanted to around my helpmate a break.
I dog-tired a inconsequential exceeding a month in the all-out care piece and two and a half months in the bone marrow uproot unit. There I became a benefactor after my son. I’m overjoyed I was competent to cure him. I was the purely man in both departments, but my parents were already there. That is, a gentleman’s gentleman in the repulse with a lady is no longer a rarity.
Global Information Here this by-product
https://cialislevel.com generic cialis
Non-specific Message Here this by-product
https://albuterolday.com ventolin
non prescription viagra: viagra price
Global Information Far this by-product
https://canadianpharmacysts.com canadian pharmacy online
viagra without a doctor prescription is viagra over the counter walmart viagra
Global Message About this offshoot
https://canadianpharmacysts.com canada pharmacy
mail order viagra generic viagra – goodrx viagra
Really a lot of awesome information.
viagra
when will viagra be generic vitality ed pills – price of viagra
Global Dope Fro this by-product
https://cialislevel.com cialis
General Dope About this by-product
https://canadianpharmacysts.com canadian pharmacy
Global Dope Far this product
https://canadianpharmacysts.com canadian pharmacy
UPD 2.10.2020: surgeons and physicians viagra without doctor prescription
Non-specific Dope About this by-product
https://levitrahill.com levitra
cheap cialis online canadian pharmacy viagra without doctor prescription
General Information Far this product
https://canadianpharmacysts.com canadian pharmacy
Wow lots of great facts! how to write good college application essays dissertations online phd thesis in
http://viagraeiu.com
cialis without a doctor’s prescription – cialis maximum dosage safe alternatives to viagra and cialis
Woah! I’m really loving the template/theme of this blog.
It’s simple, yet effective. A lot of times it’s challenging to
get that “perfect balance” between superb usability and appearance.
I must say you have done a superb job with
this. Additionally, the blog loads super quick for me on Firefox.
Exceptional Blog! http://cleckleyfloors.com/
Accustomed Dope Here this by-product
viagra https://viagrascale.com/# viagra
Cheers! A good amount of postings.
https://definitionessays.com/
General Dope About this product
canadian pharmacy https://canadianpharmacysts.com/# canadian pharmacies
Non-specific Low-down About this offshoot
cialis https://cialislevel.com/# cialis
ed causes and treatment https://canadianpharmacyvikky.com medicine for erectile
General Low-down Here this offshoot
levitra: https://levitrahill.com/# levitra online
You actually mentioned it effectively!
london drugs canada canadian pharmaceuticals online safe
online pharmacy northwest pharmacy canada: http://canadian5pharmacy.com best canadian pharmacy
remedies for ed
https://canadianpharmacystorm.com
ed meds online pharmacy
o que Г© tadalafil diГЎrio cialistodo.com puedo tomar cialis sin necesitarlo
Kudos, I appreciate this.
online pharmacies of canada canadian viagra generic pharmacy
Global Information Far this outcome
canadian pharmacy https://canadianpharmacysts.com/# canadian pharmacy
Accustomed Message Far this offshoot
canadian pharmacy https://canadianpharmacysts.com/# canadian pharmacies
sildenafil order cheap
canadian pharmacy viagra
canadian viagra building Situg Kig
General Dope About this by-product
canadian pharmacy https://canadianpharmacysts.com/# canadian pharmacy
L3baue http://pills2sale.com/ levitra nizagara
generic viagra online canadian pharmacy http://viaciabox.com – online pharmacy without prescription drugstore com companies
I have been browsing online more than 2 hours today, yet I never found any
interesting article like yours. It’s pretty worth enough for
me. In my opinion, if all website owners and bloggers made good
content as you did, the net will be much more useful
than ever before. http://www.bee-rich.com/
cialis dosage 40 mg dangerous generic cialis 5 mg cialis coupon printable
cialis 20mg
where to bay cialis (tadalafil) pills 80mg buy tadalafil cialis free trial
generic cialis at walmart
liquid cialis cialis 20 mg best price cialis without doctor prescription
expired cialis 3 years
http://www.loansonline1.com loans
prescription drugs http://genericwdprescription.com generic drugs without doctor’s prescription
home remedies for ed http://genericwdprescription.com buy prescription drugs
keflex.webbfenix.com https://keflex.webbfenix.com/
We work together what is voltaren With those subplots in motion, and a steady flow of easy body-parts jokes to further distract us, Wilson hopes we will feel comfortable enjoying the comic missteps of the âSuper Fun Nightâ gals.
We went to university together vegan friendly restaurants georgetown dc Haslam and Goodell were not seen together on the field as the Browns concluded their first week of camp. Goodell spent time visiting with Hall of Fame running back Jim Brown, who has returned as an adviser with the team.
I came here to study can you take topamax and diamox together The claimants had mounted their legal challenge on three grounds – whether the benefits changes were lawful under the European Convention on Human Rights and the Equality Act, and whether the government had followed the correct procedures when telling councils how to curb benefits payments.
General Information Fro this offshoot
cialis https://cialislevel.com/# generic for cialis
Global Low-down Here this by-product
levitra https://levitrahill.com/# levitra without doctor prescription
viagra doses 200 mg viagra without a doctor prescription generic for viagra
best ed supplements
can i just buy viagra
generic cialis best price
where the best place to buy generic viagra Situg Kig
Global Information About this by-product
cialis https://generic-cialis.us.org/# generic cialis
http://adidasyeezyofficialwebsite.com/ Adidas Yeezy Official Website
http://canadian5pharmacy.com online pharmacy
amoxycillin1st.com https://amoxycillin1st.com/
walmart viagra cheap viagra when will viagra be generic
price of viagra cheap viagra viagra cost per pill
new ed treatments
Accustomed Information About this offshoot
canadian pharmacy https://canadianpharmacytnt.com/# canadian pharmacy
medical knowledge website does potassium lower blood pressure
https://www.kamagramama.com – kamagra sale
generic for lumigan eye drops https://carepro1st.com/
http://canadianvolk.com
genuine cialis discount
buy cialis daily online without presciption uk
kamagra uk online Situg Kig
levitra
www cialis com coupons
viagra generic review
generic viagra.me.uk Situg Kig
drugstore http://pharmacy-onlineasxs.com/ pharmacies
online pharmacy without scripts best erectile dysfunction pills ed meds online
board of pharmacy best drugstore makeup erection pills
http://bambulapharmacy.com
dating sites free,free dating websites
self-governing online dating
free dating websites
https://levitraye.com
organic viagra without a doctor prescription
buy viagra for cheap
promethazine buy uk Situg Kig
tinder login, browse tinder for free
what is tinder
erkennt man original viagra viagra online prescription needed generic viagra
https://cial20mg.online/ – cost for generic cialis
cialis bula e preГ§o cialis generic modalitГ uso cialis
cialis 20 mg dosage https://tadalafil.cleckleyfloors.com/
free online dating websites,free dating sites
free dating online,free dating
[url=”http://freedatingste.com/?”]online dating
free[/url] http://freedatingste.com/
free online dating websites,free dating sites
free dating online,free dating
[url=”http://freedatingste.com/?”]online dating free[/url] http://freedatingste.com/
modafinil and noopept provigil modafinil smart drug side effects
what is provigil and how does it work
http://oralkamagjelly.com/ – kamagra shipped overnight delivery
https://viaprescription.com/
cialis fur frauen cialis cialis kaufen mit rezept
wie wirkt cialis bei frauen
https://cialisay.com – cialis 20 mg walgreens
aarp recommended canadian pharmacies https://edmeds.buszcentrum.com/
ivermectin without prescription http://ivermmectin.com/
on demand cialis dose https://tadalafili.com/
Accustomed Message About this by-product
https://cialisgrade.com cialis generic
buy vidalista 60 online cheap http://vidallista.com/
cialis soft tabs uk
https://cialisay.com – buy cialis in the usa
what’s best cialis viagra or levitra buy cialis prescription needed for cialis
https://tadalafilrembo.com cost levitra cialis viagra
generic cialis without subscription https://cialzi.com/
cialis windsor canada cialis 20mg cialis soft tabs
farmacia de guardia denia http://www.essinreceta.com/# genericos cialis
piedmont community healthcare https://sinrecetaes.com/ – viagra natural en farmacias
prix kamagra thailande kamagra
recommended content, i like it
Accustomed Dope Fro this by-product
levitra: https://levitrawiz.com levitra
viagra for men https://medspublic.com/ – generic viagra
convenio farmacia 2016 http://www.essinreceta.com/ viagra masticable
Global Dope About this offshoot
https://tadalissxtadalafil.com tadalafil gel tadalis sx
does gnc sell kamagra
General Information About this product
https://tadalissxtadalafil.com order tadalafil tadalis sx
generic sildenafil in us https://eunicesildenafilcitrate.com/ sildenafil mexico
Fantastic beat ! I would like to apprentice while you amend your website,
how can i subscribe for a blog web site? The account aided me a acceptable deal.
I had been a little bit acquainted of this
your broadcast provided bright clear idea http://www.deinformedvoters.org/tadalafil-price
kamagra use in dogs
This is my first time visit at here and i am actually happy to read all at one place.
half 20mg cialis
viagra in japan
cipla cialis 20mg Situg Kig
General Low-down Far this outcome
https://cialisoncanada.com cialis
kamagra reviews forum https://kamagraday.com/ super kamagra dapoxetine
Non-specific Information Far this outcome
https://cialisoncanada.com cialis canada
Non-specific Information Fro this by-product
https://cialisoncanada.com tadalafil
Accustomed Dope About this offshoot
https://cialisoncanada.com canada generic tadalafil
Global Message About this offshoot
https://tadalissxtadalafil.com canada cialis
Non-specific Dope About this outcome
https://canadiancialls.com cialis on canada
Accustomed Message Fro this outcome
https://tadalissxtadalafil.com tadalafil
kamagra effervescent tablets uk https://kamagraday.com/# kamagra for sale
Does Clomid help if I already ovulate? clomiphene for men is also customarily used to stimulate addition follicles develop in the ovaries of women that already ovulate without medications. Clomid, Serophene, or clomiphene citrate (generic name) is a medication that is commonly euphemistic pre-owned after the treatment of infertility.
superb post, i like it
What enhances viagra no prescription. It is concluded that yohimbine may enhance and prolong the outcome of sildenafil on erectile dispose of without additional online viagra no prescription viagra over the counter us hypotension.
https://www.cialisay.com/ cheapest cialis usa
Global Message Here this product
https://tadalafromcanada.com cialis online canada
health doctors
stromectol
General Message Fro this outcome
https://tadalafromcanada.com tadalafil cost in canada
Does Clomid lower estrogen levels? As an anti-estrogen exchange for on recur steroid use, clomid is fairly outstanding at staving below par gynecomastia. It will not decrease estrogen levels or inhibit the aromatization course of action, but in numerous cases, binding to the receptors is sufficient safe keeping in support of innumerable men.
ivermectin for sale uk https://ivermectinhumans.com/# ivermectin
General Dope Fro this offshoot
https://viafromcanada.com over the counter sildenafil
https://www.medspublic.com/ viagra
Global Message Far this product
https://viafromcanada.com viagra without a doctor prescription
General Message Here this product
https://viafromcanada.com sildenafil citrate
levitra year created levitra vardenafil
single women dating
dating sites for over 50
free single personal ads
personals free
Non-specific Dope Far this offshoot
https://levitravarden.com vardenafil
Is red wine good fitted males. A meditate on how to use viagra for best results from 2019 reports that males who drank rot-gut had a reduce lower jeopardy of lethal prostate cancer, viagra online viagra for sale and that red wine had links with a lower jeopardy of extension to mortal disease.
Accustomed Information About this outcome
https://levitravarden.com levitra singapore
How long does it away looking for sperm to develop intensify vanquish up after generic cialis safety. Your testicles are constantly producing reborn sperm in spermatogenesis. The full make takes about 64 days. During spermatogenesis, your testicles along a variety of million sperm per heyday — approximately 1,500 per second. By the effect of a chock-full sperm television circle, you can regenerate up to 8 billion sperm cialis pill price.
levitra cost at walmart http://wardenafil.com/ how to take levitra for best results
non prescription viagra http://himpills.com cialis usa Uxmnnbp what is aids?
https://www.cialiswlmrt.com/ buy cialis online cheap
walgreens levitra prices
prednisone 20mg tablets
harga viagra 100mg Situg Kig
online buy viagra http://himpills.com cialis black 800 mg reviews Ubllu43 how long does department of health take in florida for id card for compassionate use registry
levitra or viagra – https://levitraoffer.com/ order levitra usa
levitra tablets side effects http://levitradd.com/ – levitra online prescription
free online dating sites
dating sites free
free single personal ads
dating personal ads
free online dating
free foreign dating sites free no fee
single chat line free
chat websites to meet people