Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Mpina amtaka Mwekezaji kuondoka mara moja

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mh.Luhaga Mpina (katikati) akitoa maamuzi ya kuitaka Kampuni ya Game Tracking Safaris (TGTS) kuondoka katika eneo la hekari 20,000 kwenye vitalu tisa vilivyomo kwenye Ranchi ya Uvinza ifikapo Januari Mosi 2018.

Sehemu ya Ranchi ya Uvinza la hekari 20,000 ambazo kampuni ya Game Tracking Safaris (TGTS) imetakiwa kuliachia.

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mh.Luhaga Mpina (katikati) akiwasikiliza walinzi wa Kampuni ya Game Tracking Safaris (TGTS) hawapo pichani wakitoa maelezo alipotembelea Ranchi ya Uvinza leo.

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mh.Luhaga Mpina akizungumuza na Meneja wa Kampuni ya Game Tracking Safaris (TGTS) Audax Kalulama katika simu alipotembelea Ranchi ya Uvinza leo na kuamuru mwekezaji huyo kuondoka kabla ya Januari Mosi mwakani kutokana na Mwekezaji huyo kukaa katika eneo hilo kinyume cha Sheria.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama