Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Mpina Aagiza Mkataba wa Ovenco Kuvunjwa na Kuundwa kwa Mkataba Mpya.

Ng’ombe aina ya Borani wanaomilikiwa na muwekezaji kampuni ya Overland katika Ranchi ya Mzeri , Wilayani Handeni Mkoani Tanga.

 

Waziri wa Mifugo na Uvuvi. Mhe. Luhaga Mpina(katikati) akiongea vyombo vya habari baada ya ziara ya ukaguzi wa baadhi ya vitalu katika Ranchi ya Mzeri iyopo Wilayani Handeni Mkoani Tanga, kushoto kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Handeni Godwin Gondwe, na kulia ni mkurugenzi wa kampuni ya Overland Bw. Faizal Edha.

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina (katikati) na Mkuu wa Wilaya ya Handeni kulia Godwin Gondwe pamoja na wataalam kutoka Wizarani na Mkoani Tanga wakiwa katika zoezi la kukagua baadhi ya vitalu vilivyopo katika Ranchi ya Mzeri Wilayani Handeni.

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina akimkimbiza Ng’ombe aina ya Borani katika Ranchi ya Mzeri alipokuwa katika zoezi la ukaguzi wa vitalu .

Aliyesinama wa pili kulia ni Waziri wa Mifugo na uvuvi Luhana Mpina, kushoto kwake ni Mkuu wa Wilaya ya Handeni Godwin Gondwe wakiangalia sehemu ya kunyweshea ng’ombe maji mkatika ranchi ya Mzeri wilayani Handeni.

95 thoughts on “Mpina Aagiza Mkataba wa Ovenco Kuvunjwa na Kuundwa kwa Mkataba Mpya.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama