Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

MKURABITA Yawa Chachu Kasi ya Urasimishaji Biashara Zanzibar

Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na Maendeleo ya Viwanda ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Bw. Islam Seif Salum akieleza hatua zilizochukuliwa na zitakazochukuliwa  na Wizara hiyo katika kuhakikisha kwamba  urasimishaji   biashara unaleta tija na kuzalisha ajira zaidi kama ilivyo dhamira ya  Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na  ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

5 thoughts on “MKURABITA Yawa Chachu Kasi ya Urasimishaji Biashara Zanzibar

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama