Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Hakuna Mkandarasi Atakayeongezewa Muda

Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (Dawasa) Romanus Mwang’ingo akielezea jambo mbele ya Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhadisi Gerson Lwenge (wa pili kushoto) wakati wa ziara yake ya kugagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa ugawaji wa maji safi Dar es Salaam na Pwani jana.

Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Gerson Lwenge akisikiliza maelezo kutoka kwa Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (Dawasa) Romanus Mwang’ingo kuhusu ujenzi wa tanki la maji wakati wa ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa ugawaji wa maji safi Dar es Salaam na Pwani jana. Kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Maji Safi Dar es Salaam (Dawasco) Mhandisi Cyprian Luhemeja.

Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Gerson Lwenge akipewa maelezo kuhusu ujenzi wa tanki la maji wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa ugawaji wa maji safi Dar es Salaam na Pwani jana.

Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Gerson Lwenge akipewa maelezo na Meneja Miradi wa Kampuni ya Wapcots Ltd Bw. P. G. Rajan kuhusu ujenzi wa tanki la maji wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa ugawaji wa maji safi Dar es Salaam na Pwani jana.

Seheme ya hatua za ujenzi wa Matanki makubwa yenye uwezo wa kuhifadhi maji ujazo wa lita milioni 6 kama katika maeneo ya Salasala na Bagamoyo .

Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Gerson Lwenge akiangalia mashine inayotumiwa katika ujenzi na ulazaji wa mabomba ya maji alipotembelea eneo la Kibamba na Hondogo ambapo ulazaji huo wa mabomba unaemndelea ikiwa ni utekelezaji wa mradi mkubwa wa ugawaji wa maji safi Dar es Salaam na Pwani.

Baadhi ya mafundi wakiwa wanalaza bomba la maji kama walivyokutwa na mpiga picha wetu wakati wa ziara ya Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Gerson Lwenge kukagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa ugawaji wa maji safi Dar es Salaam na Pwani jana.

Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Mhe. Majjid Mwanga akielezea jambo mbele ya Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Gerson Lwenge (watatu kutoka kushoto) wakati wa ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa ugawaji wa maji safi Dar es Salaam na Pwani jana. Kushoto kwa Waziri ni Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (Dawasa) Romanus Mwang’ingo na Afisa Mtendaji Mkuu wa Dawasco Mhandisi Cyprian Luhemeja (kushoto).

Waziri Wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Gerson Lwenge akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Jane Construction ambao ni wakandarasi wa ujenzi wa mradi wa ugawaji maji safi Dar es Salaam na Pwani mara baada ya kukamilisha ziara yake ya kukagua mradi huo jana. (Picha zote na: Frank Shija)

40 thoughts on “Hakuna Mkandarasi Atakayeongezewa Muda

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama