Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Mgalu Awataka Wakandarasi Umeme Vijijini Kuwa na Magenge Kila Wilaya

Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu (kulia) akikabidhi Jenereta katika Kituo cha Afya Nkowe, Kata ya Nkowe, wilayani Ruangwa, Mkoa wa Lindi akiwa katika ziara ya kazi, Februari 26, mwaka huu.

Na Veronica Simba – Ruangwa

Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu amewataka wakandarasi wanaotekeleza miradi ya umeme vijijini kuweka magenge yenye vifaa vya kazi katika kila wilaya nchi nzima ili kuboresha utendaji kazi wao.

Alitoa maagizo hayo kwa nyakati tofauti jana, Februari 26, 2019 akiwa katika ziara ya kikazi katika vijiji kadhaa vya Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi.

Akizungumzia kuhusu umuhimu wa kuwaunganishia umeme wananchi wengi wa vijijini, Naibu Waziri alisema ni lazima wakandarasi husika wahakikishe wanakuwa na genge lenye vitendea kazi katika kila wilaya ili kusiwepo na sababu au kisingizio cha kuchelewa kuunganisha umeme katika maeneo yao.

Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa umeme katika Zahanati ya Nandanga, wilayani Ruangwa, Mkoa wa Lindi, Februari 26, mwaka huu.

Akiwa katika siku ya tatu ya ziara yake mkoani Lindi, Mgalu aliviwashia umeme vijiji vya Chimbila B, Mtakuja na Nandanga vilivyoko wilayani Ruangwa, ambapo pia alisisitiza kuwa taasisi za umma zipewe kipaumbele katika kuunganishiwa umeme kwa manufaa ya wananchi.

Katika hatua nyingine, Naibu Waziri aliwataka wakandarasi kuwapa kipaumbele wenye ulemavu pamoja na wazee katika zoezi la kuunganishiwa umeme kwa kutumia vifaa vya Umeme Tayari (UMETA) ambavyo serikali imetoa 250 bure kwa kila eneo.

Aidha, aliwaagiza wasimamizi wa miradi ya umeme vijijini kutoka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuhakikisha wanasimamia utekelezaji wa agizo hilo.

Vilevile, alihamasisha wananchi kujitokeza kwa wingi kulipia gharama za kuunganishiwa umeme ambazo ni shilingi 27,000 tu kupitia mradi wa umeme vijijini ili waweze kupatiwa nishati hiyo na waitumie kwa shughuli mbalimbali za kujiongezea kipato hivyo kuboresha maisha yao.

Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu akiwasha rasmi umeme katika Zahanati ya Nandanga, wilayani Ruangwa, Mkoa wa Lindi, Februari 26, mwaka huu.Alisisitiza kuwa, serikali imepitisha azimio la kuwaunganishia umeme wananchi wote walioko vijijini kwa gharama ya shilingi 27,000 tu pasipo kujali aina ya mradi unaohusika.

“Mwananchi yeyote wa kijijini ataunganishiwa umeme kwa shilingi 27,000 tu. Uwe ni umeme wa REA au TANESCO au wowote ule, gharama ni hiyo. Mkitozwa gharama tofauti, toeni taarifa kwa mamlaka husika zichukue hatua mara moja.”

Pia, aliwaelekeza Wakuu wa Wilaya katika maeneo yote nchini kuwasimamia wakandarasi hao wa miradi ya umeme vijijini na kuchukua hatua stahiki pindi wanapoona hawatekelezi kazi zao kama wanavyotakiwa.

Naibu Waziri yuko katika ziara ya kazi ya siku nne mkoani Lindi ambayo anatarajia kuhitimisha Februari 27, mwaka huu.

45 thoughts on “Mgalu Awataka Wakandarasi Umeme Vijijini Kuwa na Magenge Kila Wilaya

 • Pingback: viagra online store

 • Pingback: cialis dosage 40 mg

 • Pingback: Cost of viagra

 • Pingback: canadian pharmacy cialis

 • Pingback: cialis price

 • Pingback: viagra 50mg

 • Pingback: pills erectile dysfunction

 • Pingback: buying ed pills online

 • Pingback: non prescription ed pills

 • Pingback: buy cialis online

 • Pingback: canadian pharmacy

 • Pingback: cialis mastercard

 • Pingback: vardenafil 10mg

 • Pingback: vardenafil 10 mg

 • Pingback: online levitra

 • Pingback: buy generic viagra

 • Pingback: san manuel casino online

 • Pingback: online gambling

 • Pingback: cash advance

 • Pingback: viagra cost

 • Pingback: cialis 20

 • Pingback: ruben

 • Pingback: mario

 • Pingback: live casino slots online

 • Pingback: 5 mg cialis

 • Pingback: cialis 5 mg

 • Pingback: online slots

 • Pingback: order viagra

 • Pingback: cialis tadalafil

 • January 31, 2021 at 5:25 pm
  Permalink

  I was recommended this website via my cousin. I am no longer sure whether or not this submit
  is written by him as no one else know such specified approximately my difficulty.
  You’re incredible! Thanks!

  Reply
 • February 1, 2021 at 4:16 am
  Permalink

  Hi there, I think your website could possibly be having web browser compatibility problems.

  Whenever I look at your website in Safari, it
  looks fine however, when opening in Internet Explorer, it has some overlapping issues.
  I merely wanted to give you a quick heads up! Other than that, fantastic website!

  Reply
 • February 2, 2021 at 11:04 pm
  Permalink

  Fastidious response in return of this difficulty with
  firm arguments and explaining the whole thing regarding that.

  Reply
 • February 3, 2021 at 12:01 am
  Permalink

  This paragraph is actually a good one it helps new internet viewers, who
  are wishing for blogging.

  Reply
 • February 3, 2021 at 11:58 am
  Permalink

  Wonderful article! This is the type of info that should be
  shared across the internet. Shame on the search engines
  for not positioning this post higher! Come on over and talk over with my
  website . Thanks =)

  Reply
 • March 19, 2021 at 4:13 am
  Permalink

  Have you ever considered about including a little bit more than just your articles?
  I mean, what you say is important and everything. However think about if you added
  some great pictures or video clips to give your posts more, “pop”!

  Your content is excellent but with images and videos, this website could definitely be one of the greatest
  in its niche. Excellent blog!

  Reply
 • March 22, 2021 at 12:14 am
  Permalink

  Hmm it seems like your website ate my first comment (it was extremely long) so I guess I’ll just sum it up what I wrote and
  say, I’m thoroughly enjoying your blog. I as well am an aspiring
  blog blogger but I’m still new to everything. Do you
  have any tips and hints for newbie blog writers? I’d genuinely appreciate it.

  Reply
 • May 3, 2021 at 11:34 pm
  Permalink

  My brother suggested I might like this blog. He was once entirely right.
  This publish truly made my day. You can not imagine simply how a lot time I had
  spent for this info! Thank you!

  Reply
 • May 4, 2021 at 1:32 am
  Permalink

  Have you ever considered creating an ebook or guest authoring on other
  websites? I have a blog based upon on the same topics you discuss and would really like to have you share some stories/information. I know my subscribers would appreciate your work.
  If you are even remotely interested, feel free to shoot
  me an email.

  Reply
 • May 4, 2021 at 12:07 pm
  Permalink

  Thanks for one’s marvelous posting! I definitely enjoyed reading it, you happen to be a great
  author.I will remember to bookmark your blog and may come
  back sometime soon. I want to encourage you to ultimately continue your great posts, have a nice holiday weekend!

  Reply
 • May 4, 2021 at 1:19 pm
  Permalink

  Highly descriptive post, I loved that bit. Will
  there be a part 2?

  Reply
 • May 7, 2021 at 11:13 am
  Permalink

  Oh my goodness! Awesome article dude! Many thanks,
  However I am having troubles with your RSS. I don’t know the reason why I can’t join it.
  Is there anybody getting the same RSS problems? Anyone who
  knows the solution will you kindly respond?

  Thanks!!

  Reply
 • May 7, 2021 at 2:40 pm
  Permalink

  Remarkable issues here. I am very satisfied to peer your post.
  Thanks so much and I am having a look forward to contact you.
  Will you kindly drop me a e-mail?

  Reply
 • May 8, 2021 at 12:41 am
  Permalink

  each time i used to read smaller articles or reviews which as well clear their motive, and that is also happening with this post which I am reading now.

  Reply

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama