Mkufunzi wa mafunzo ya mfumo wa malipo Epicor toleo Na. 10.2 kutoka Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Bw. Augustino Manda (aliyesimama) akitoa maelezo ya awali ya mafunzo hayo kwa Maafisa Manunuzi kutoka Halmashauri za Mikoa ya Dodoma, Singida, Shinyanga, Arusha na Manyara , leo Jijini Dodoma.
Na: Lilian Lundo – MAELEZO, Dodoma.
Mfumo mpya wa malipo epicor toleo Na. 10.2 unaotarajiwa kuanza kutumika Julai 1, mwaka huu na Mamlaka zote za Serikali za Mitaa nchini umeelezwa kuboresha huduma kwa wananchi kutokana na kuwa wa uwazi na kurahisisha kazi kwa watumiaji wa mfumo huo.
Akieleza lengo la uboreshaji wa mfumo huo leo, Jijini Dodoma wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo Maafisa Manunuzi kutoka Halmashauri za Mikoa ya Kigoma, Shinyanga, Dodoma, Arusha, Manyara na Singida, mkufunzi wa mafunzo hayo kutoka Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Bw. Agustino Manda amesema mfumo huo utapunguza kazi na kuongeza ufanisi wa kazi kwa watumishi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa hapa nchini.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya mfumo mpya wa malipo Epicor toleo Na. 10.2 ambao ni Maafisa Manunuzi kutoka Halmashauri za Mikoa ya Dodoma, Singida, Shinyanga, Arusha na Manyara wakifuatilia mafunzo hayo yaliyoandaliwa na TAMISEMI kwa kushirikiana na Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3), leo Jijini Dodoma.
“Mfumo huu utaweka mambo wazi, watu watawajibika na mtumiaji wa mwisho ambaye ni mteja atapata huduma nzuri na kuridhika na huduma atakayopewa,” amesema Manda.
Ameendelea kusema, lengo la kuboresha mfumo huo ni kutoa huduma nzuri kwa Wananchi, Wananchi kutocheleweshewa huduma, Halmashauri husika kuwa katika nafasi nzuri ya kutoa huduma pamoja na kukusanya mapato vile ilivyotarajiwa.
Aidha amewataka Maafisa Manunuzi hao kutoa maelekezo mazuri kwa wateja wao namna mfumo huo unavyofanya kazi ili wateja waweze kuelewa na kuridhika na huduma wanazohitaji.
Maada amesema Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa kushirikiana na Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) kupitia mifumo mbalimbali ya kielektroniki inayoendelewa kuboreshwa hapa nchini wamefanikiwa kupunguza gharama za watumishi kusafiri kwenda Makao Makuu ya Serikali kufuata huduma mbalimbali.
Mkufunzi wa mafunzo ya mfumo wa malipo Epicor toleo Na. 10.2 kutoka Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Bw. Augustino Manda (aliyesimama) akitoa maelekezo ya namna ya kutumia mfumo huo kwa Maafisa Manunuzi kutoka Halmashauri za Mikoa ya Dodoma, Singida, Shinyanga, Arusha na Manyara, leo Jijini Dodoma.
Ametolea mfano wa Mfumo wa Kielektroniki wa Kuandaa Mpango wa Bajeti ya Serikali za Mitaa (PlanRep) kuwa umewezesha Halmashauri kuandaa bajeti zao wakiwa katika ofisi zao tofauti na awali, ambapo walilazimika kusafiri kwenda Dar es Salaam au Dodoma. Hivyo mradi huo umeipunguzia Serikali gharama za kuwalipa watumishi hao wanapokuwa nje ya vituo vyao vya kazi.
Kwa upande wa Meneja Mradi wa PS3 Dodoma, Bw. Gideon Muganda amesema PS3 itaendelea kushirikiana na Serikali kwa ukaribu kuhakikisha mifumo mbalimbali ya sekta za Umma inaboreshwa hapa nchini.
Mfumo wa malipo epicor 10.2 utatoa taarifa zote zinazohusiana na fedha katika Halmashauri husika ikiwemo mapato, matumizi pamoja na bajeti ya Halmashauri.
Mafunzo ya Mfumo huo yanaendelea kutolewa katika vituo sita ambavyo ni Dodoma, Mwanza, Mtwara, Iringa, Kagera na Mbeya ambapo yamehusisha watumiaji wa mfumo huo ambao ni Waweka Hazina, Wahasibu, Maafisa TEHAMA, Maafisa Manunuzi na Wakaguzi wa Ndani kutoka Mamlaka za Serikali za Mitaa nchini lengo ikiwa ni kuwajengea uwezo wa namna ya kutumia mfumo huo hasa katika maeneo yaliyoboreshwa. Mafunzo hayo yanafanyika kwa wiki tatu ambapo yameanza Juni 4 na yanatarajiwa kumalizika Juni 21, mwaka huu.
Pingback: viagra coupons
Pingback: ed drugs
Pingback: buy ed pills
Pingback: erectile dysfunction medications
Pingback: online canadian pharmacy
Pingback: generic cialis online
Pingback: levitra cost
Pingback: levitra vardenafil
Pingback: hard rock casino online
Pingback: viagra alternative
Pingback: legitimate online slots for money
Pingback: real casino online
Pingback: loans online
Pingback: loan online
Pingback: cialis 5 mg
Pingback: online casino based in canada
Pingback: cialis to buy
Pingback: cialis generic
Pingback: generic for cialis
Pingback: Mybookie
Pingback: generic for cialis
Pingback: online casino paypal payout
Pingback: online slots
Pingback: best online casino usa
Pingback: online casino real money
Pingback: free viagra
Pingback: buy cheap viagra
Pingback: cheap cialis
k4cHHi Thank you for your blog.Really looking forward to read more. Really Cool.
This particular blog is really educating and besides informative. I have picked up a lot of interesting tips out of this source. I ad love to visit it every once in a while. Cheers!
I truly appreciate this article post.Thanks Again. Keep writing.
This is one awesome article post.Really thank you!
Major thankies for the blog post.Really looking forward to read more. Cool.
You are not probably to achieve virtually just about everywhere if you definitely really don at brush for that
Muchos Gracias for your article.Much thanks again. Keep writing.
It as laborious to search out knowledgeable folks on this matter, but you sound like you understand what you are speaking about! Thanks
There as definately a lot to learn about this topic. I really like all the points you made.