Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Matukio Katika Picha Bungeni Leo

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akijibu maswali, Bungeni jijini Dodoma, Septemba 12.2019.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo (kushoto) Bungeni jijini Dodoma, Septemba 12.2019. Katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, George Simbachawene. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akizungumza na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza, katika viwanja vya Bunge, jijini Dodoma, Septemba 12.2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama