Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Matukio Katika Picha Ufunguzi wa Mafunzo ya Mfumo wa Epicor toleo 10.2 Jijini Mbeya

Afisa Elimu  Mkoa wa Mbeya Bi. Paulina Ntigeza  akisisitiza umuhimu wa  Mafunzo ya Mfumo wa Usimamizi wa fedha za Umma wa Epicor toleo la 10.2  kwa wahasibu,  waweka hazina, Maafisa  Ugavi  wa Mikoa ya Mbeya, Songwe na Rukwa kwa niaba ya Katibu Tawala wa Mkoa huo  Bi. Mariam Mtunguja leo Jijini Mbeya wakati wa hafla ya ufunguzi wa mafunzo hayo.Afisa Elimu  Mkoa wa Mbeya Bi. Paulina Ntigeza  akiwa kwenye picha ya pamoja na washiriki wa mafunzo kuhusu Mfumo wa Usimamizi wa fedha za Umma wa Epicor toleo la 10.2    yalishirikisha wahasibu,  waweka hazina, Maafisa  Ugavi  wa Mikoa ya Mbeya, Songwe  leo Jijini Mbeya

Mkuu wa Timu ya Mifumo  kutoka  Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) Bw. Desderi   Wengaa akitoa maelezo kuhusu mfumo wa Usimamizi wa fedha za Umma wa Epicor toleo la 10.2 utakavyosaidia kuboresha utendaji  katika Mamlaka za Serikali za Mitaa leo Jijini Mbeya wakati wa hafla ya ufunguzi wa mafunzo hayo.

Sehemu ya washiriki wa mafunzo hayo wakifuatilia hotuba ya Afisa Elimu  Mkoa wa Mbeya Bi. Paulina Ntigeza ambaye alikuwa mgeni rasmi wakati wa hafla ya ufunguzi wa mafunzo ya Mfumo wa Usimamizi wa fedha za Umma wa Epicor toleo la 10.2  yanayofanyika Jijini Mbeya yakiwashirikisha Wahasibu, Maafisa Ugavi na Waweka Hazina kutoka Mikoa ya Mbeya, Songwe na Rukwa.

Sehemu ya washiriki wa mafunzo hayo wakifuatilia hotuba ya Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya Bi . Mariam Mtunguja iliyosomwa kwa niaba yake na Afisa Elimu  Mkoa wa Mbeya Bi.Paulina Ntigeza ambaye alikuwa mgeni rasmi wakati wa hafla ya ufunguzi wa mafunzo ya Mfumo wa Usimamizi wa fedha za Umma wa Epicor toleo la 10.2  yanayofanyika Jijini Mbeya yakiwashirikisha Wahasibu, Maafisa Ugavi na Waweka Hazina kutoka Mikoa ya Mbeya, Songwe na Rukwa.

Mkuu wa Timu ya Mifumo  kutoka  Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) Bw. Desderi   Wengaa akiagana na Afisa Elimu  Mkoa wa Mbeya Bi. Paulina Ntigeza ambaye alikuwa mgeni rasmi kwa niaba ya Katibu Tawala wa Mkoa huo  Bi. Mariam Mtunguja leo Jijini Mbeya  katika hafla ya ufunguzi wa mafunzo ya Mfumo wa Usimamizi wa fedha za Umma wa Epicor toleo la 10.2    kwa wahasibu,  waweka hazina, Maafisa  Ugavi  wa Mikoa ya Mbeya, Songwe na Rukwa

Mkuu wa Timu ya Mifumo  kutoka  Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) Bw. Desderi   Wengaa (kushoto) akimkaribisha  Afisa Elimu  Mkoa wa Mbeya Bi. Paulina Ntigeza  kufungua  mafunzo Usimamizi wa fedha za Umma wa Epicor toleo la 10.2    yalishirikisha wahasibu,  waweka hazina, Maafisa  Ugavi  wa Mikoa ya Mbeya, Songwe na Rukwa kwa niaba ya Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya  Bi. Mariam Mtunguja leo Jijini Mbeya.

Afisa Elimu  Mkoa wa Mbeya Bi. Paulina Ntigeza akisisitiza jambo kwa Mkuu wa Timu ya Mifumo   ya  Sekta za Umma (PS3) Bw. Desderi   Wengaa mara baada ya kufungua mafunzo kuhusu Usimamizi wa fedha za Umma wa Epicor toleo la 10.2     yalishirikisha wahasibu,  waweka hazina, Maafisa  Ugavi  wa Mikoa ya Mbeya, Songwe na Rukwa kwa niaba ya Katibu Tawala wa Mkoa wa Mbeya  Bi. Mariam Mtunguja leo Jijini Mbeya.

 

(Picha zote na Frank Mvungi- MAELEZO, Mbeya)

23 thoughts on “Matukio Katika Picha Ufunguzi wa Mafunzo ya Mfumo wa Epicor toleo 10.2 Jijini Mbeya

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama