Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Matukio Katika Picha PM Bungeni Leo

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wanachuo wa Chuo Kikuu cha Dodoma kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 24, 2019. Wanachuo hao walikwenda Bungeni kujifunza.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wachezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Geita Gold Mine kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 24, 2019.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wanakwaya wa Kanisa la Wasabato la Mongolandege katika Jimbo la Ukonga jijini Dar es salaam kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 24, 2019. Wanakwaya hao walikwenda Bungeni kwa mwaliko wa Mbunge wao, Mwita Waitara ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI.


PMO 9232 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wanakwaya wa Kanisa la Wasabato la Mongolandege katika Jimbo la Ukonga jijini Dar es salaam kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 24, 2019. Wanakwaya hao walikwenda Bungeni kwa mwaliko wa Mbunge wao, Mwita Waitara (kulia) ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wanakwaya wa Kanisa la Wasabato la Mongolandege katika Jimbo la Ukonga jijini Dar es salaam kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Mei 24, 2019. Kulia kwake ni Mbunge wa Ukonga na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mwita Waitara. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

2 thoughts on “Matukio Katika Picha PM Bungeni Leo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama