Karibuni kwenye Blogu Rasmi ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Huu ni Uwanja wa Wananchi Kupata Taarifa Mbalimbali za Serikali na Masuala Mengine ya Kijamii, Kisiasa, na Kiuchumi. Blogu hii inaratibiwa na Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali kupitia Idara ya Habari (MAELEZO).

Matukio Katika Picha Makamu wa Rais Mkutano wa Arinsa

Baadhi ya Bendera za Nchi wanachama wa ARINSA (Asset Recovery Inter-Agency for Southern Africa), ( 1-Eswatini, 2-Uganda, 3-Tanzania, 4-Lethoto) zikipitishwa kwa washiriki wa Mkutano wa Umoja wa Urejeshaji wa Mali zinazohusu uhalifu ARINSA, uliofanyika Jijini Dar es Salaam leo , Chama hicho pia kilikuwa kinaadhimisho Miaka 10 tangu kuanzishwa kwake 2009.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwasili kufungua Mkutano wa Umoja wa Urejeshaji wa Mali zinazohusu uhalifu uliofanyika Jijini Dar es Salaam leo , ARINSA pia walifanya maadhimisho ya Miaka 10 tangu kuanzishwa kwake 2009.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa katika Mkutano wa Umoja wa Urejeshaji wa Mali zinazohusu uhalifu, ARINSA uliofanyika Jijini Dar es Salaam leo , ARINSA pia walifanya maadhimisho ya Miaka 10 tangu kuanzishwa kwake 2009, Kulia ni Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt.Augustine Mahiga.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan(katikati) akiwa katika Mkutano wa Umoja wa Urejeshaji wa Mali zinazohusu uhalifu uliofanyika Jijini Dar es Salaam leo , ARINSA pia walifanya maadhimisho ya Miaka 10 tangu kuanzishwa kwake 2009,kutoka kulia ni Mkuu wa Mpango wa Kuzuia Utakatishaji Fedha, Michiel Van Dyk, Mkurugenzi Mkuu wa Mashitaka (DPP) Tanzania, Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt.Augustine Mahiga, Kushoto ni Jaji Dkt.Eliezer Mbuki Feleshi, na Mshauri wa UNOC, Fitz Ray Drayton.

Washiriki wa Mkutano wa Umoja wa Urejeshaji wa Mali zinazohusu uhalifu ARINSA, uliofanyika wakifuatilia Mkutano huo leo Jijini Dar es Salaam.

2 thoughts on “Matukio Katika Picha Makamu wa Rais Mkutano wa Arinsa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ev eşyası depolama